mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
Ukienda Italy,Belgium,France ,Spain na nchi nyingi za ulaya utastaajabu na wasanii wa tasnia ya kuchonga masanamu walivyo mahiri.
Wanaweza kuchonga jiwe gumu mpaka ikatokea taswira ya mtu wanae mtaka au kiumbe chochote.
Kwenye round about,makumbusho nje ta viwanja vya mpira na park kumejaa masanamu.
Njoo Tanzania sasa,ni kituko,babu zangu wa kimakonde wanajua kuchonga vinyago tu,sanamu ya Nyerere mpaka leo hakuna aliyeweza kuichonga
Aibu ya Taifa