Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Exactly, hapa ndipo palipo na tatizo........wamakomde, kwa mfano, washindwe kumchonga Nyerere?!!!! ThubutuuuuWapo wengi sana tatizo connection na urefu wa kamba
Kuwa specific, waafrika wa pande zip walikuwa wakifanya surgery nipe source nikubaliane na weww.Unajuaje wameishia la saba?
Ujue, kabla hata ya mzungu kujua kufanya surgery na tiba zingine, Waafrika tulikuwa tukifanya hivyo.
Wacha dhihaka na dharau.