Kweli umenena. Connection.Wapo wengi sana tatizo connection na urefu wa kamba
Wapo watu tatizo wanapeleka kwa wanaowajua, na cha juu.Ukiena Italy,Belgium,France na nchi nyingi za ulaya utastaajabu na wasanii wa tasnia ya kuchonga masanamu walivyo mahiri.
Wanaweza kuchonga jiwegumu mpaka ikatokea taswira ya mtu wanaemtaka au kiumbe chichote.
Kwenye round about,makumbusho nje ta viwanja vya mpira na park kumejaa masanamu.
Njoo Tanzania sasa,ni kitungo,babu zanfu wa kimakonde wanajua kuchonga vinyago tu,sanamu yanyerere mpaka leo hakuna aliyeweza kuichonga
Aibu ya Taifa
Makongoro Nyerere, tuambie hii picha inafana na picha ya baba Yako.Ukiena Italy,Belgium,France na nchi nyingi za ulaya utastaajabu na wasanii wa tasnia ya kuchonga masanamu walivyo mahiri.
Wanaweza kuchonga jiwegumu mpaka ikatokea taswira ya mtu wanaemtaka au kiumbe chichote.
Kwenye round about,makumbusho nje ta viwanja vya mpira na park kumejaa masanamu.
Njoo Tanzania sasa,ni kitungo,babu zanfu wa kimakonde wanajua kuchonga vinyago tu,sanamu yanyerere mpaka leo hakuna aliyeweza kuichonga
Aibu ya Taifa
Ukosee ufanyiwe kama yule dogo wa Picha ya No.1?,joke.Ukiena Italy,Belgium,France na nchi nyingi za ulaya utastaajabu na wasanii wa tasnia ya kuchonga masanamu walivyo mahiri.
Wanaweza kuchonga jiwegumu mpaka ikatokea taswira ya mtu wanaemtaka au kiumbe chichote.
Kwenye round about,makumbusho nje ta viwanja vya mpira na park kumejaa masanamu.
Njoo Tanzania sasa,ni kitungo,babu zanfu wa kimakonde wanajua kuchonga vinyago tu,sanamu yanyerere mpaka leo hakuna aliyeweza kuichonga
Aibu ya Taifa
Nimejifunza kitu toka kwako,tatizo leru huwa hatuheshimu taaluma,Sasa wachongaji wetu wameishia lasaba, hawajui kwamba uchongaji unahitaji ngazi kubwa ya elimu maana mwili wa binadamu una uhusiano wa ki Geometria. Hiyo ni elimu kubwa sana.
Hao uliowataja wachongaji wa kiitaliano au ubelgiji, spain na french huwa wanasoma mpaka shaada za juu kabisa ili kujifunza hizo jeometria za nature miili ya wanyama, wanadamu, ili wawe wachongaji na wachoraji wazuri
Angalia tu ma God Fathers wao akina Leonardo Da Vince yale ma Geometri walikuwa wanayapiga karne ya 15 huko.
Huku kwetu mtu anajiita mchongaji unamkuta tu kijiweni anachonga zake kinyago kwa mkono haendi hata kwa vipimo, anaenda kama anachora katuni. Hapo lazima atoe kituko
Masanamu ya ukaya yana thamani sana,yaaani likiibiwa ni msako mpaka lipatikaneUlaya zile ishu zina thaminiwa sana tofaut na huku, hata hivyo thaman ya michongo inapelekea watu wabobee kwenye hiyo ishu. Bongo usishangae kandaras ya kibonzo hiko na yenyewe imepiga kwenye nondo na cement
Unajuaje wameishia la saba?Sasa wachongaji wetu wameishia lasaba, hawajui kwamba uchongaji unahitaji ngazi kubwa ya elimu maana mwili wa binadamu una uhusiano wa ki Geometria. Hiyo ni elimu kubwa sana.