Njaa na umaskini ni kitu kibaya sana maana husababisha mtu anasahau aibu na kufanya vitu vya ajabu, waandishi wa habari Tanzania wamejikuta wanakanyagana na kupigana makumbo kisa wananyan'ganyana vihela vilivyokua vinarushwa kwa dharau na msanii wa Bongo anayeitwa Irene Uwoya.
Sasa waandishi kama hawa ndio wanategemewa kuanika mafisadi kwenye nchi.....
HAO AMERICAS NA NYIE WAKENYA WAPI WANA UTAJIRI??
HELA HAIANGALII MASKINI WALA TAJIRI,HAKUNA ANAYETOSHEKA NA HELA.
SIKU ZINGINE CREATE THREAD ZA MAANA.ONA SASA MPAKA WACHANGIAJI UNAKOSA?!
Kurusha noti za dollar kwenye wapita njia, lazima watu wang'ang'anie, inaeleweka, lakini yenu ni aibu wanahabari kurushiwa pesa madafu na wao bila aibu kusukumana waking'ang'ania, ilhali ndio wana taaluma inayotegemewa kuwaanika mafisadi wa trilioni ambazo huwa tunaona mkisemwa na CAG.
Bora hata wale wa kupewa bahasha, lakini sio kwa aibu, umaskini na njaa ya kihivi.
Mbona unaongea kwa uchungu utafikiri pesa zako? Au unawaonea gere wenzio, na wewe hamia Tanzania uanze kumuwinda huyo dada sababu kutupa hela hivyo nasikia ni kawaida yake mpaka midolari, ukipiga round mbili tatu si haba unapata pesa ya kuweka viraka paa lako huko Kibera kujihami na vuli inayokuja.Kurusha noti za dollar kwenye wapita njia, lazima watu wang'ang'anie, inaeleweka, lakini yenu ni aibu wanahabari kurushiwa pesa madafu na wao bila aibu kusukumana waking'ang'ania, ilhali ndio wana taaluma inayotegemewa kuwaanika mafisadi wa trilioni ambazo huwa tunaona mkisemwa na CAG.
Bora hata wale wa kupewa bahasha, lakini sio kwa aibu, umaskini na njaa ya kihivi.
wewe ni miongoni mwa wakenya wengi wenye matatizo kichwani.Kurusha noti za dollar kwenye wapita njia, lazima watu wang'ang'anie, inaeleweka, lakini yenu ni aibu wanahabari kurushiwa pesa madafu na wao bila aibu kusukumana waking'ang'ania, ilhali ndio wana taaluma inayotegemewa kuwaanika mafisadi wa trilioni ambazo huwa tunaona mkisemwa na CAG.
Bora hata wale wa kupewa bahasha, lakini sio kwa aibu, umaskini na njaa ya kihivi.
Njaa na umaskini ni kitu kibaya sana maana husababisha mtu anasahau aibu na kufanya vitu vya ajabu, waandishi wa habari Tanzania wamejikuta wanakanyagana na kupigana makumbo kisa wananyan'ganyana vihela vilivyokua vinarushwa kwa dharau na msanii wa Bongo anayeitwa Irene Uwoya.
Sasa waandishi kama hawa ndio wanategemewa kuanika mafisadi kwenye nchi.....
Leo hii unesahau ya westgate soldiers walikwapua mikate na blueban kwa ajili ya familia zaoππππππππππππππ
YALIYOJIRI. Wakenya wataenda kufundisha kiswahili S.A mpende msipendeLeteni clip jamani tujikumbushe yaliyojili.
YALIYOJIRI. Wakenya wataenda kufundisha kiswahili S.A mpende msipende