MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Njaa na umaskini ni kitu kibaya sana maana husababisha mtu anasahau aibu na kufanya vitu vya ajabu, waandishi wa habari Tanzania wamejikuta wanakanyagana na kupigana makumbo kisa wananyan'ganyana vihela vilivyokua vinarushwa kwa dharau na msanii wa Bongo anayeitwa Irene Uwoya.
Sasa waandishi kama hawa ndio wanategemewa kuanika mafisadi kwenye nchi.....
Sasa waandishi kama hawa ndio wanategemewa kuanika mafisadi kwenye nchi.....