issadeus269
Member
- Dec 2, 2018
- 24
- 4
Dakika ya ngap,,,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yanga 3 Na ruvu 2. mpira ndiyo umemalizikaDakika ya ngap,,,
[emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]yanga 3 Na ruvu 2. mpira ndiyo umemalizika
Dunia haina huruma aisee ! hawa hawakustahili ushindi huu mkuuyanga 3 Na ruvu 2. mpira ndiyo umemalizika
Halafu kakonda sana msimu huu...kimebaki kichwa tu..[emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23]Mnyama bado anamaumivuView attachment 969805
sasa hii picha unaweka ya nini ?Mnyama bado anamaumivuView attachment 969805
Yanga Imara Mbele DaimaDunia haina huruma aisee ! hawa hawakustahili ushindi huu mkuu
Tunataka kuinyosha nchi mpaka kwenye sokaErythrocyte huku waachie wenyewe,unazidi ushabiki. Mwanahabari Huru ameleta habari,Salim Mwalimu yuko ndani.
Mikia bana waajabu sana jana wamefungwa wanashangilia lakini Leo Yanga anamfunga Ruvu wanachukia kweli Rage ajakosea alivyowaita lile jinaTunataka kuinyosha nchi mpaka kwenye soka
Anafanya maandalizi ya rufaa hapo baadaeKwahiyo tukusaidie nini?
Picha hiyo inaonesha msisitizo jinsi mnyama alivyo na maumivu makalisasa hii picha unaweka ya nini ?
Goli la yanga ni offside, ruvu wamenyimwa penalt mbili za wazi. Mbeleko fc