Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
Nawaonea huruma sana CCM.
Wamelipa mamluki wao kujaribu kuleta kashkash Chadema ili Wananchi waone chama kimekufa wapi? Wananchi ndo wanazidi kuipenda Chadema zaidi ya jana.
Wamemkamata Kiongozi Mkuu wa Chadema na kumuweka ndani, kutegemea Watanzania watarudi nyuma kuipenda Chadema ila wapi Watanzania ndo wanazidi kuipenda Chadema.
Sasaivi madalali wanajipigia tu hela za CCM kuwaahidi Wanaiua Chadema na CCM wanatoa hela kweli ila kwa Wananchi ndo kwanza mapenzi ya Chadema yanazidi kuongezeka.
We jionee mwenyewe hali ya Geita leo kwenye mikutano ya CCM.👇