PreGE2025 Aibu yao CCM: Pamoja na figisu zote CHADEMA yazidi kukubaliwa na Wananchi kiwango cha kutisha

PreGE2025 Aibu yao CCM: Pamoja na figisu zote CHADEMA yazidi kukubaliwa na Wananchi kiwango cha kutisha

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kwa sababu mmekuwa mkishinda kwa kuiba ndo mana tunasema No Reform No Election.
Na nyie Kwa nini hamuibi? Kwa nini hamkamati wezi au kulinda kura? 🤣🤣🤣🤣🤣

Mtaishia hivyo hivyo Kila mwaka .Amueni msuse wengine wale au muendelee na stori za tonetone.
 
Hivyo ndivyo mnafanya miaka yote,jiulize mumeshapata nini Hadi Sasa?

Mwisho Mwenyekiti Yuko ndani hatuoni hata mwananchi mmja anaewakunali kuja kuwapigania 😁😁
Mwaka gani kaka? CCM mshukuruni sana JPM kipindi cha 2015 ulikuwa ukivaa sare za CCM unazomewa mtaani!
 
ukiwaangalia hata wanavyozungumza kwenye mikutano yao, hawajiamini kabisa, mwangalie makala
Wananchi wametembea kilometres mbili kumsindikiza Heche Hotelini huko Geita.

Alafu mipuuzi CCM inasema Chadema imekufa😄😄😄
 
Na nyie Kwa nini hamuibi? Kwa nini hamkamati wezi au kulinda kura? 🤣🤣🤣🤣🤣

Mtaishia hivyo hivyo Kila mwaka .Amueni msuse wengine wale au muendelee na stori za tonetone.
Hatutaki kuiba ndo nama tuna advocate for No Reform No Election ili kuwe na uwanja sawa wa mapambano. Anayeshinda ashinde kwa haki.
 
Back
Top Bottom