Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
Mwaka huu CCM watawehuka kudadazekiLazima wavae boxes vichwani
Utekaji na uuaji ndiyo chanzo cha watu kuanza kuichukia serikaliWamelipa mamluki wao kujaribu kuleta kashkash Chadema ili Wananchi waone chama kimekufa wapi? Wananchi ndo wanazidi kuipenda Chadema zaidi ya jana.
Wamemkamata Kiongozi Mkuu wa Chadema na kumuweka ndani, kutegemea Watanzania watarudi nyuma kuipenda Chadema ila wapi Watanzania ndo wanazidi kuipenda Chadema.
Ni kwasababu hayana akili.Utekaji na uuaji ndiyo chanzo cha watu kuanza kuichukia serikali
Chadema ndiyo Suluhu pekee ya uchawaNawaonea huruma sana CCM.
Wamelipa mamluki wao kujaribu kuleta kashkash Chadema ili Wananchi waone chama kimekufa wapi? Wananchi ndo wanazidi kuipenda Chadema zaidi ya jana.
Wamemkamata Kiongozi Mkuu wa Chadema na kumuweka ndani, kutegemea Watanzania watarudi nyuma kuipenda Chadema ila wapi Watanzania ndo wanazidi kuipenda Chadema.
Sasaivi madalali wanajipigia tu hela za CCM kuwaahidi Wanaiua Chadema na CCM wanatoa hela kweli ila kwa Wananchi ndo kwanza mapenzi ya Chadema yanazidi kuongezeka.
We jionee mwenyewe hali ya Geita leo kwenye mikutano ya CCM.π
View attachment 3330249View attachment 3330250View attachment 3330251View attachment 3330252
Unaugulia ukiwa wapi?Faraja jipe mwenyewe, usisuburi kufarijiwa.
Mkuu hiyo sentensi ya mwisho kabisa rekebisha umeandika 'mkutano wa CCM' badala ya CDM.Nawaonea huruma sana CCM.
Wamelipa mamluki wao kujaribu kuleta kashkash Chadema ili Wananchi waone chama kimekufa wapi? Wananchi ndo wanazidi kuipenda Chadema zaidi ya jana.
Wamemkamata Kiongozi Mkuu wa Chadema na kumuweka ndani, kutegemea Watanzania watarudi nyuma kuipenda Chadema ila wapi Watanzania ndo wanazidi kuipenda Chadema.
Sasaivi madalali wanajipigia tu hela za CCM kuwaahidi Wanaiua Chadema na CCM wanatoa hela kweli ila kwa Wananchi ndo kwanza mapenzi ya Chadema yanazidi kuongezeka.
We jionee mwenyewe hali ya Geita leo kwenye mikutano ya CCM.π
View attachment 3330249View attachment 3330250View attachment 3330251View attachment 3330252
Hao wangekuwa wanatoka wakiitwa kwenye maandamano reforms zinazohitajika zingekuwa zilishapatikana zamani tuNawaonea huruma sana CCM.
Wamelipa mamluki wao kujaribu kuleta kashkash Chadema ili Wananchi waone chama kimekufa wapi? Wananchi ndo wanazidi kuipenda Chadema zaidi ya jana.
Wamemkamata Kiongozi Mkuu wa Chadema na kumuweka ndani, kutegemea Watanzania watarudi nyuma kuipenda Chadema ila wapi Watanzania ndo wanazidi kuipenda Chadema.
Sasaivi madalali wanajipigia tu hela za CCM kuwaahidi Wanaiua Chadema na CCM wanatoa hela kweli ila kwa Wananchi ndo kwanza mapenzi ya Chadema yanazidi kuongezeka.
We jionee mwenyewe hali ya Geita leo kwenye mikutano ya CCM.[emoji116]
View attachment 3330249View attachment 3330250View attachment 3330251View attachment 3330252
Mkuu tukiacha mambo ya kushupaza shingo ukweli ni kwamba wananchi wamekuwa na mwitikio mkubwa sana kwenye kampeni ya 'No Reforms No Election ' na sio kitu cha kuhadithiwa bali tunajionea.Faraja jipe mwenyewe, usisuburi kufarijiwa.
Lile guluguja muda wote linaongea pumba tu utafikiri ana kaa la moto kinywani.ukiwaangalia hata wanavyozungumza kwenye mikutano yao, hawajiamini kabisa, mwangalie makala
Mkuu tukiacha mambo ya kushupaza shingo ukweli ni kwamba wananchi wamekuwa na mwitikio mkubwa sana kwenye kampeni ya 'No Reforms No Election ' na sio kitu cha kuhadithiwa bali tunajionea.
Hivyo ndivyo mnafanya miaka yote,jiulize mumeshapata nini Hadi Sasa?Nawaonea huruma sana CCM.
Wamelipa mamluki wao kujaribu kuleta kashkash Chadema ili Wananchi waone chama kimekufa wapi? Wananchi ndo wanazidi kuipenda Chadema zaidi ya jana.
Wamemkamata Kiongozi Mkuu wa Chadema na kumuweka ndani, kutegemea Watanzania watarudi nyuma kuipenda Chadema ila wapi Watanzania ndo wanazidi kuipenda Chadema.
Sasaivi madalali wanajipigia tu hela za CCM kuwaahidi Wanaiua Chadema na CCM wanatoa hela kweli ila kwa Wananchi ndo kwanza mapenzi ya Chadema yanazidi kuongezeka.
We jionee mwenyewe hali ya Geita leo kwenye mikutano ya CCM.π
View attachment 3330249View attachment 3330250View attachment 3330251View attachment 3330252
Kwa sababu mmekuwa mkishinda kwa kuiba ndo mana tunasema No Reform No Election.Hivyo ndivyo mnafanya miaka yote,jiulize mumeshapata nini Hadi Sasa?
Mwisho Mwenyekiti Yuko ndani hatuoni hata mwananchi mmja anaewakunali kuja kuwapigania ππ
Si mnaiba kuraHivyo ndivyo mnafanya miaka yote,jiulize mumeshapata nini Hadi Sasa?
Mwisho Mwenyekiti Yuko ndani hatuoni hata mwananchi mmja anaewakunali kuja kuwapigania ππ
Nyie Kwa nini msiibe au kuzuia ama kukamata wezi?Si mnaiba kura