ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Na nyie Kwa nini hamuibi? Kwa nini hamkamati wezi au kulinda kura? 🤣🤣🤣🤣🤣Kwa sababu mmekuwa mkishinda kwa kuiba ndo mana tunasema No Reform No Election.
No Reforms No ElectionsNa nyie Kwa nini hamuibi? Kwa nini hamkamati wezi au kulinda kura? 🤣🤣🤣🤣🤣
Mtaishia hivyo hivyo Kila mwaka .Amueni msuse wengine wale au muendelee na stori za tonetone.
Mwaka gani kaka? CCM mshukuruni sana JPM kipindi cha 2015 ulikuwa ukivaa sare za CCM unazomewa mtaani!Hivyo ndivyo mnafanya miaka yote,jiulize mumeshapata nini Hadi Sasa?
Mwisho Mwenyekiti Yuko ndani hatuoni hata mwananchi mmja anaewakunali kuja kuwapigania 😁😁
Yezebeli sijui anajisikiaje huko alipo😁😁Hakuna majiko ya gas wala Zuchu na Diamond
Wananchi wametembea kilometres mbili kumsindikiza Heche Hotelini huko Geita.ukiwaangalia hata wanavyozungumza kwenye mikutano yao, hawajiamini kabisa, mwangalie makala
Hatutaki kuiba ndo nama tuna advocate for No Reform No Election ili kuwe na uwanja sawa wa mapambano. Anayeshinda ashinde kwa haki.Na nyie Kwa nini hamuibi? Kwa nini hamkamati wezi au kulinda kura? 🤣🤣🤣🤣🤣
Mtaishia hivyo hivyo Kila mwaka .Amueni msuse wengine wale au muendelee na stori za tonetone.
Hatari sana na watu wanakuja wenyewe na kuchangia tonetone wanachangiaHakuna majiko ya gas wala Zuchu na Diamond
Chadema ni mpango wa Mungu.VIVA CHADEMA