Aibu za Israel Hizo zinajitokeza baada ya vita

Nyie watu mna matatizo gani? Kila kitu mnafanya Propaganda tu!! Mkuu huyo atajiuzuru mwezi march 06,2025 Anawajibika kwa kuzembea hivyo kusababisha magaidi wa Hamas kuvamia Israel 🇮🇱 na kuteka na kubaka watu Oct 07,2023
Uliona wakibaka au umekaririshwa wa isreal waliambiwa wajitokeze kwa aliyebakwa amna aliyejitokeza mpaka leo au ww ndo uliyebakwa
 
Kama Una shida na kubakwa nenda kabakwe na Hamas wapenzi wako
 
Attachments

  • IMG_20250120_040504.jpg
    IMG_20250120_040504.jpg
    153.7 KB · Views: 4
Nyie watu mna matatizo gani? Kila kitu mnafanya Propaganda tu!! Mkuu huyo atajiuzuru mwezi march 06,2025 Anawajibika kwa kuzembea hivyo kusababisha magaidi wa Hamas kuvamia Israel 🇮🇱 na kuteka na kubaka watu Oct 07,2023
Acha kulia lia ukweli unaita propaganda kashatumia neno kushindwa sasa propaganda gani apa ikiwa mkuu wa jesh kachutama chini !!! waisrael wameshindwa VITA ata sura za waisrael wote awana furaaaa wanajua wameshindwa VITA nyinyi ndio mnafanya propaganda kuzuiya ushindi wapalestina ulio wazi!!!!
 
Hawa tuliambiwa kwamba walikuwa wanafahamu juu ya tukio la October 7. Je, hili la viongozi waandamizi kujiuzulu nalo ni moja ya mbinu zao?.
 
Acha kulia lia ukweli unaita propaganda kashatumia neno kushindwa sasa propaganda gani apa ikiwa mkuu wa jesh kachutama chini !!! waisrael wameshindwa VITA ata sura za waisrael wote awana furaaaa wanajua wameshindwa VITA nyinyi ndio mnafanya propaganda kuzuiya ushindi wapalestina ulio wazi!!!!
Huo ni ni ujinga Unawasumbua huwezi kushinda vita kwa Propaganda uchwara kama hizi
 
Back
Top Bottom