Aibu: Ziara ya Waziri Mkuu Tunduma yageuka Mkutano wa Kampeni, Silinde na Mwambe wahutubia

Umepania kuwabambikia kesi au kuwapiga risasi? Ni kipi umewapania haswa?
Jipeni fake hopes tu tunawachora kwa hasira hapa, hii ndo Tz ukijitoa ufahamu tutakuonyesha kwa vitendo.
 
NIMETOKEA KUICHUKIA CCM
 
Polepole kaanza matusi na kejeli,sijui katumwa na Jiwe
 
Chukueni hatua badala ya kufikiri kuandika ni njia ya kupinga. Wenzenu wameanza kampeni za wazi nyinyi mnajificha ndani mpaka lini? It is not too late start now! Ukibamizwa shavu la kulia wewe mbamize la kushoto pamoja na pua
 
Kampeni za chadema mwaka huu ni rahisi sana
1. Fly over iko dar haiko Mbeya
2. Salender bridge iko dar haiko Mbeya
3. Hospitali imejengwa chato haiko Tunduru
4. Ajira ni kwa wana ccm sio kwa watanzania
5. Kwetu mpaka leo hakuna maji masafi ya bomba toka tupate uhuru wa kiccm
6. Sukari bei juu
7. Watu wamepotezwa na kuuwawa hadharani

Hatutaipigia ccm hii ya kiuwaji

Wakitaka kura zetu watueleze waliko hawa
1. Ben Saanane
2. Azory Gwanda
3. na wengine wengi
4. waliomuua Mawazo
5. Waliompiga risasi Tundu lissu
6. Waliomteka Roma, Nondo, Mo, na watu kibao
 
Yaani katika wabunge waliounga juhudi kifala ni Lijualikali na Silinde,mbwembwe nyingi utafikiri wameahidiwa uzima wa milele,naamini wakiwa wametulia wanajuta sana kwa maamuzi waliyoyafanya ila hawana namna inabidi wakaze uzi tu.
 

Hapo ndipo CCM Mpya waelewe gharama za kuendekeza utashi wa mtu mmoja bila kuwashirikisha wananchi wanataka nini ktk maeneo yao yawe Maendeleo ya Vitu au Maendeleo ya Watu lazima kuwa msikivu kwa wabunge na wananchi hitaji lao lenye kipaumbele ni lipi badala ya kuwaburuza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…