Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
Bora aliyefeli form 4 lkn kwa sasa wenye vyeti wote wako chini kuliko mliosoma lkn hamna uwezo wa kumtoa MadarakaniNchi ikishaongozwa na kilaza mambo mengi ya hovyo hufanyika, haishangazi.. rais aliyefeli matokeo ya form 4 kwa kuambulia D moja tuu huwezi tegemea miujiza yoyote kutoka kwake!.
NAUNGA MKONO HOJA KUFUTWA KWA VYAMA VYOTE VYA UPINZANI NCHINI.Aliyekuwa Mbunge wa Nkasi Kaskazini kupitia CHADEMA, Aida Kenan asema kama vya vyama vya upinzani havitakiwi nchini ni bora kuvifuta vyote ili watu wasiendelee kuuawa na kuumizwa na kibaki chama tawala tu.