Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
Wakuu
Baada ya kilichotokea kwenye uchaguzi mkuu wa 2020, CHADEMA ilipata mbunge mmoja tu wa kuchaguliwa ambaye ni Aida Kenani muwakilishi wa Jimbo la Nkasi.
Aida ni ishara ya wanawake waliozitumia nafasi zao za uongozi vizuri. Licha ya kuwa peke yake pale mjengoni lakini bado alipambana kuhakikisha walau sauti yake kama muwakilishi kutoka chama pinzani inasikika.
Aida ni balozi wa viongozi wanamke wenye misimamo, wasiotikiswa wala kuyumbishwa katika ulingo wa siasa.
Mapema mwaka huu Mwenyekiti wa chama chake aliposhikiliwa na jeshi la polisi Aida alipaza sauti bungeni kuitaka serikali iseme ni wapi alipopelekwa Licha ya upinzani mkali alioupata kwa mwanamke mwezie Mhandisi Stella Manyanya.
Pia soma

- LGE2024 - Aida Kenan amchana Mchengerwa, adai Uchaguzi wa Serikali za Mitaa yalifanyika mambo ya ovyo na umeacha maumivu kwa Wananchi
- Pre GE2025 - Mbunge Aida Kenani aitaka Serikali kueleza sababu za kukamatwa kwa Tundu Lissu
- LGE2024 - Nkasi: Wanaodaiwa kutumwa na DC kulipua nyumba ya Mbunge Aida Kenani wakamatwa. Walitumia ‘pikipiki za Samia’