Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
Wenye wakati ngumu ni ma CCM. CDM wameshakubali. Huyo dada hicho kisebengo chache ni cha muda. Ataungana na wenye Dola na nchi.Chadema mnawakat mgum Sana nyie kubalin tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mlimteua wa nini kama hankutaka aingie bungeni?Mama hamia CCM Kama unataka ubunge. CHADEMA hakiitaji mwakilishi. Unga juhudi mkono. Ili mkaendelee na vikao vya CCM dodoma badala ya bunge
Wapinzani wametuchelewesha sana.maendeleo haya chamaMlimteua wa nini kama hankutaka aingie bungeni?
Kwanza ubunge kapata kwa gharama na juhudi zake binafsi, kumbuka hakuna mgombea ubunge aliyesaidiwa pesa na makao makuu, wote waliambiwa wajitegemee katika kampeni...
No, she's right. Aligombea ili ashinde, na ameshinda, kwanini akatae ushindi? Na ametoa ushauri mzuri kuwa chama kifuate utaratibu wa kudai haki katika yale maeneo yenye dosari. Zifunguliwe kesi za uchaguzi kwa kutumia ushahidi uliopo. Wakifungua kesi majimbo yote, na zikathibitishwa mahakamani, itasaidia pia kama uthibitisho wa dosari kwenye uchaguzi wa rais japo hauhojiwi mahakamani.Huyu nae ni wa kuhurumia tu! Ipo siku atakuja juta maana miaka 5 si mingi. Magu si mtu na hana rafiki bali anakutumia pale tu anapokuhitaji.
Awaulize Mbatia na Lipumba .
Aendelee na ubunge wake na afanye yote lakini kamwe asinyee kambi.
Acha ujinga ww Kama ungekua ww ungekubali garama aloweka kwenye uchaguzi utazilipa ww wakati wengine hata wanakopa kwenye ma benkHuyu nae ni wa kuhurumia tu! Ipo siku atakuja juta maana miaka 5 si mingi. Magu si mtu na hana rafiki bali anakutumia pale tu anapokuhitaji.
Awaulize Mbatia na Lipumba .
Aendelee na ubunge wake na afanye yote lakini kamwe asinyee kambi.
Furahia dada mwaka wako huuu...Chadema mnawakati mgumu Sana nyie kubalini tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hizo ndio akili za maCCM.No, she's right. Aligombea ili ashinde, na ameshinda, kwanini akatae ushindi? Na ametoa ushauri mzuri kuwa chama kifuate utaratibu wa kudai haki katika yale maeneo yenye dosari. Zifunguliwe kesi za uchaguzi kwa kutumia ushahidi uliopo. Wakifungua kesi majimbo yote, na zikathibitishwa mahakamani, itasaidia pia kama uthibitisho wa dosari kwenye uchaguzi wa rais japo hauhojiwi mahakamani.
Kagombee na wewe uone ilivyovigumu kupata ubunge!! Wewe upoupo tuu mara uko na Lowassa kwa sasa upoupo tu kama popo!Huyu nae ni wa kuhurumia tu! Ipo siku atakuja juta maana miaka 5 si mingi. Magu si mtu na hana rafiki bali anakutumia pale tu anapokuhitaji.
Awaulize Mbatia na Lipumba .
Aendelee na ubunge wake na afanye yote lakini kamwe asinyee kambi.
Yupo Dodoma anasubiri kuapa ili akawatumikie wananchi wa Nkasi.Huyo mama sio mzima kichwani.
CHADEMA walishatoa msimamo kuwa hawayatambui matokeo yote ya uchaguzi uliopita, sasa huyo mama anapaswa kutulia kama anajua nini maana ya chama na yeye kuwa mwanachama wa hicho chama...