uwakilishi bubu kivipi?walivyokuwa wengi walisikilizwa?suala la mafao na fursa zinazojitokeza kwa nafasi aliyoipata ndio sababu kubwa wanasiasa wote wanasukumwa kugombea nafasi mbali mbali, kisha yanafuatia waslahi ya wanaowakilishwa...haikumake difference walivyokuwa wengiUwakilishi bubu una faida gani? Atasikilizwa na nani bungeni akiwa peke yake? Hatakuwa na uwezo wa kupinga lolote lile liletwalo bungeni, sioni faida yeyote ile zaidi ya mafao tu!
ππ..huyu dada aende bungeni.
..yeye na wananchi waliomchagua wameutolea jasho ushindi huo.
..kushiriki kwake bungeni hakuondoi ukweli kuhusu dhuluma kubwa iliyotokea ktk uchaguzi mkuu.
Haaaa! Kumbe Mjengoni mnaendaga kupinga tuu, na wala siyo kuisimamia serikali na kuwawakilisha wananchi wa majimbo yenu? Hapa ndipo maana halisi ya JPM ya "CONNECTION" inatiki!Uwakilishi bubu una faida gani? Atasikilizwa na nani bungeni akiwa peke yake? Hatakuwa na uwezo wa kupinga lolote lile liletwalo bungeni, sioni faida yeyote ile zaidi ya mafao tu!
Kwakweli wamuache naye akale maisha maana hata akijiuzulu hakuna itakacho badilika. Ingekuwa wamepita viongozi je wangejiuzuru? Jibu ni hapana, hivyo mama naye acha akale mema ya nchi.Chama kiliniamini kikarudisha mamlaka kwa wananchi na wananchi wamenipa mamlaka. Kama niliapa Chadema siwezi isaliti hali kadhalika siwezi wasaliti wananchi wa Nkasi Kaskazini.
Naomba nitoe msimamo wangu, mimi Aida nimechaguliwa kwa mujibu wa sheria na ni mbunge halali wa Nkasi Kaskazini, ninasubiri kuapishwa na hakuna jambo jingine, sina mabadiliko mengine.
Pia soma> Aida Khenan: Demokrasia ni muhimu kuliko ushindi wangu. Nipo tayari kuungana na wenzangu kwa maamuzi yoyote
Wewe unafikiri hiyo kauli kwa utashi wake? Hapo ccm wamemeakikishia kumlinda hata uanachamaWamfutie uanachama fasta asituletee ngonjera wakati huu wa maombolezo
Bora kabisa ata mlivyopata hivyo viti viwili tu.Sasa huyo mmoja ndio atabadilisha picha halisi ya hilo Bunge?
Kumbe nafsi zinawsuta kuona mmebaki peke yenu!!
Huyo dada kwangu akienda bungeni ni sawa, na akiamua kusimamia msimamo wa chama ni sawa. Cha muhimu akiwa bungeni asigeuzwe kondoo wa kutii mambo ya ccm. Tena kuna uwezekano wa kuwashinda kwa hoja hao viazi wengi wa ccm.
Watu wanafikiri definition ya democrasia ni mpaka chadema wachaguliweChama kiliniamini kikarudisha mamlaka kwa wananchi na wananchi wamenipa mamlaka. Kama niliapa Chadema siwezi isaliti hali kadhalika siwezi wasaliti wananchi wa Nkasi Kaskazini.
Naomba nitoe msimamo wangu, mimi Aida nimechaguliwa kwa mujibu wa sheria na ni mbunge halali wa Nkasi Kaskazini, ninasubiri kuapishwa na hakuna jambo jingine, sina mabadiliko mengine.
Pia soma> Aida Khenan: Demokrasia ni muhimu kuliko ushindi wangu. Nipo tayari kuungana na wenzangu kwa maamuzi yoyote
Hii sio sawa hata kidogo,wakimfutia wanamuonea na wakifanya hivyo atakuwa mbunge kwa tiketi ya CCMWamfutie uanachama fasta asituletee ngonjera wakati huu wa maombolezo
Tatizo ni Mbowe anaona mshahara wa mtu mmoja haumtoshi alizoea kuwakamua mabillion Sasa akichukua laki 5 toka huyu mbunge mmoja haitoshi ndo maana anatapatapa eti uchaguzi urudiwe.Huyu dada aende bungeni yeye na wananchi waliomchagua wameutolea jasho ushindi huo.
Kushiriki kwake bungeni hakuondoi ukweli kuhusu dhuluma kubwa iliyotokea ktk uchaguzi mkuu.
Tatizo ni Mbowe anaona mshahara wa mtu mmoja haumtoshi alizoea kuwakamua mabillion Sasa akichukua laki 5 toka huyu mbunge mmoja haitoshi ndo maana anatapatapa eti uchaguzi urudiwe.