Uchaguzi 2020 Aida Khenani (CHADEMA): Siwezi kuwasaliti wananchi wa Nkasi Kaskazini, mimi ni mbunge halali, ninasubiri kuapishwa tu

Uchaguzi 2020 Aida Khenani (CHADEMA): Siwezi kuwasaliti wananchi wa Nkasi Kaskazini, mimi ni mbunge halali, ninasubiri kuapishwa tu

Atakwenda tu. CCM mmekwishaamua hivyo, kuna mwingine wa kukataa? Anayekataa atakuwa hajipendi (JW, NEC, Polisi, Mamlaka ya Anga, TCRA, Msajili, Mahakama, TISS..).
Huyu binti aende akawatete wananchi wake. Mbona wakati ule palikua Dr Slaa, Zitto Kabwe na wengine hawakufika 5, Bunge lilikua moto tuu.

Hutu mmoja na was CUF watapiga kelele tuu na kuitoa usingizini CCM.
Riziki yake huyu mmbuge muachieni. Nimaisha yake na ajira yake. Asipoenda munaongeza wasiokua na ajira. Muacheni akapambane na asionewe jamani, muacheni mwana mama aendele.

Misimamo ya kupambana na CCM iendele nje ya bunge. Hujuma imetendeka kama kunaushahidi pelekeni mahakamani. Na tupambane kudai katiba mpya kwa marithiano. Wakati mwingine, tutumie akili na sio nguvu kudai haki.

CCM niwaoga sana, na wanapenda sana kutumia polisi na vitisho, CHADEMA na upinzani mzima, tumieni akili kupamba na adui mwenye dola.
 
Wajua kuna mambo hupashwi kutumia nguvu. At some point Raila mwaka 1997, akajiunga na KANU, alijiunga na KANU kwa maksudi fulani. Kilichotekea KANU iko wapi?
 
Pamoja na kwamba naipenda namkubali sana Lisu, lakini sijauubaliana nae kweye hili la kusema kwamba huyo Mbunge binti asubiri kwanza hadi chama kitakapo toa tamko. Wakati yeye tayari amepata hifadhi Ujerumani na tayari anafanya taratibu za kuondoka na kurudi Ubelgiji.
Yaani nilivyo tafasiri kwa haraka ni kwamba Lisu anatoa msimamo wa chama, wakati tayari anapo pa kukimbilia ilhali anao watolea tamko chama kimewaacha watajisumbukia...
 
Kama Aida anatishiwa maisha naye aje Ubalozini haraka sana. Mlango wa Ubalozi uko wazi hapa...

Anaweza pia kuunga juhudi sasa hivi kama ubunge ni muhimu sana kuliko CHADEMA. Kwanza ni kwa nini aachiwe yeye jimbo na wala siyo mwingine yeyote? Ana uhusiano gani na CCM/TISS ambao hauko wazi? Ama mnataka tuamini kuwa mkurugenzi wa Nkasi haipendi kazi yake, hamwogopi Magufuli? Ama yeye halipwi mshahara na Magufuli?
Pamoja na kwamba naipenda namkubali sana Lisu, lakini sijauubaliana nae kweye hili la kusema kwamba huyo Mbunge binti asubiri kwanza hadi chama kitakapo toa tamko. Wakati yeye tayari amepata hifadhi Ujerumani na tayari anafanya taratibu za kuondoka na kurudi Ubelgiji.
Yaani nilivyo tafasiri kwa haraka ni kwamba Lisu anatoa msimamo wa chama, wakati tayari anapo pa kukimbilia ilhali anao watolea tamko chama kimewaacha watajisumbukia...
 
aende tu

isije kuwa hawa wanaume wa chadema wana lao...hivyo wanamzuia kiaina

na kama hajaolewa wamtafutie na mume...huko kuna silinde,msukuma na yule jamaa anaependaga wanawake weupe
 
Back
Top Bottom