Uchaguzi 2020 Aida Khenani (CHADEMA): Siwezi kuwasaliti wananchi wa Nkasi Kaskazini, mimi ni mbunge halali, ninasubiri kuapishwa tu

Uchaguzi 2020 Aida Khenani (CHADEMA): Siwezi kuwasaliti wananchi wa Nkasi Kaskazini, mimi ni mbunge halali, ninasubiri kuapishwa tu

..Mbowe siyo mtu wa aina hiyo.

..hana roho ya kuziba rizki ya mtu mwingine.

..ndiyo maana wanasiasa wengi wachanga wamepitia cdm.
Atazibaje riziki zao wakati % flani ya mishahara yao inaingia kwenye account yake? Unakibaniaje kitega uchumi chako!
 
Barabarani tupo kila siku. Kwa taarifa yako sisi wengine tulioko mitandaoni tuna madhara kuliko hata kuingia barabarani. Kuingia barabarani Ni njia moja wapo kati ya njia nyingi za kukomesha uhuni wa kitoto.
Sasa mbona hukumwambia hivyo kibaraka Lissu wakati anasema atawaingiza barabarani??!
 
Hivi ni kweli huyu dada ameonekana kwenye shughuli za kuapishwa Mheshimiwa Rais wetu leo?

Amandla...
 
Mbowe akimfukuza huyo Mbunge Mwanadada Jasiri aliyepigania haki ya wananchi wa Nkasi na kumshinda mpinzani wake kwa kudhibiti wizi na uhuni wote jambo ambalo wanaume wameshindwa akiwemo Mbowe hakika tutaandamana kumvua Uenyekiti Mbowe na Genge lake. Tutamtoa Mbowe ofisini kwa Viboko na marungu na kiofisi chake tutakifunga kama ile ya NCCR pale Manzese ,Mrema alipojaribu kujimilikisha Chama. Hawa Wenyeviti wa vyama vya siasa wanajifanya ni miungu watu.

Kumzuia yule Dada kuapishwa ni dhambi kubwa sana atakayoendelea kuitenda Mbowe . Mbowe analipwa kwa madhambi aliyoyatenda . Kuna wakati nawahurumia sana wapinzani lakini nawaza zaidi naona pia kuwa JPM ni Mpango wa Mungu kuja kuwalipa waovu ujira wao japo sijasema kuwa yeye ni mtakatifu Bali atawaadhibu na baadae atamaliza kazi yake ili watu wema kama Lisu wachukue nafasi yao. Lisu asingeweza kuwa Rais chini ya Chama kinachoongozwa na Mtu kama Mbowe. Yaani Mbowe awe Mwenyekiti wa Chama Tawala. Mtu anamfukuza Rwakatare aliyekua amebakiza wiki mbili Bungeni kwa sababu ya tofauti za kisiasa halafu anataka Demokrasia ili avumiliwe akiikosoa Serikali? Ujinga mkubwa sana.

Uchaguzi umeisha narejea kuhakikisha Mbowe anangoka na kama atangangania ajiandae Kupoteza Chama mana kwa upumbavu wake hajui kuwa CCM imemtega kwa kumpa mbunge mmoja ili Chama kibaki na usajili. Akimfukuza ajue wazi kuwa hicho Chama chake kitafutwa kwenye orodha ya msajili. Lengo lilikua ni kukifuta baada ya huu uchaguzi. Watu wamemuheshimu Lisu pamoja na kauli zake za kuudhi Mara nyingine lakini ndiyo hulka ya wanashaeria.

Wito wangu kwa Lisu :
Awe makini sana na Mbowe ,Huyo sio mtu mwema hata kidogo. Atakupatezea uelekeo wa maisha kwa manufaa yake. Lindeni Chama na sio kumlinda Mbowe.

Watanzania wameonyesha wazi kuwa hawamkubali Mbowe. Kama sio Lisu kurudi hata uchaguzi usingefanyika na watu walikua wamesharidhika tu bora liende mana Walishachoka siasa za Mbowe kuanzia kijijini kwake.
 
Yule Kessy chali, nimefurahi sana kuona yule jamaa CCM wamemchinjia baharani, nikirudi Tanzania Inshaallah ntafika hilo jimbo nimuone aliyemuangusha Kessy
Wakati Mbowe anataka kumhujumu yule Dada Shujaa aliyeiangusha CCM na majeshi yake na tume yake.
Badala ya kupongezwa analaumiwa eti asiende kuapishwa .
Jinga kabisa Mbowe.
 
Mbowe akimfukuza huyo Mbunge Mwanadada Jasiri aliyepigania haki ya wananchi wa Nkasi na kumshinda mpinzani wake kwa kudhibiti wizi na uhuni wote jambo ambalo wanaume wameshindwa akiwemo Mbowe hakika tutaandamana kumvua Uenyekiti Mbowe na Genge lake. Tutamtoa Mbowe ofisini kwa Viboko na marungu na kiofisi chake tutakifunga kama ile ya NCCR pale Manzese ,Mrema alipojaribu kujimilikisha Chama. Hawa Wenyeviti wa vyama vya siasa wanajifanya ni miungu watu.

Kumzuia yule Dada kuapishwa ni dhambi kubwa sana atakayoendelea kuitenda Mbowe . Mbowe analipwa kwa madhambi aliyoyatenda . Kuna wakati nawahurumia sana wapinzani lakini nawaza zaidi naona pia kuwa JPM ni Mpango wa Mungu kuja kuwalipa waovu ujira wao japo sijasema kuwa yeye ni mtakatifu Bali atawaadhibu na baadae atamaliza kazi yake ili watu wema kama Lisu wachukue nafasi yao. Lisu asingeweza kuwa Rais chini ya Chama kinachoongozwa na Mtu kama Mbowe. Yaani Mbowe awe Mwenyekiti wa Chama Tawala. Mtu anamfukuza Rwakatare aliyekua amebakiza wiki mbili Bungeni kwa sababu ya tofauti za kisiasa halafu anataka Demokrasia ili avumiliwe akiikosoa Serikali? Ujinga mkubwa sana.

Uchaguzi umeisha narejea kuhakikisha Mbowe anangoka na kama atangangania ajiandae Kupoteza Chama mana kwa upumbavu wake hajui kuwa CCM imemtega kwa kumpa mbunge mmoja ili Chama kibaki na usajili. Akimfukuza ajue wazi kuwa hicho Chama chake kitafutwa kwenye orodha ya msajili. Lengo lilikua ni kukifuta baada ya huu uchaguzi. Watu wamemuheshimu Lisu pamoja na kauli zake za kuudhi Mara nyingine lakini ndiyo hulka ya wanashaeria.

Wito wangu kwa Lisu :
Awe makini sana na Mbowe ,Huyo sio mtu mwema hata kidogo. Atakupatezea uelekeo wa maisha kwa manufaa yake. Lindeni Chama na sio kumlinda Mbowe.
Watanzania wameonyesha wazi kuwa hawamkubali Mbowe. Kama sio Lisu kurudi hata uchaguzi usingefanyika na watu walikua wamesharidhika tu bora liende mana Walishachoka siasa za Mbowe kuanzia kijijini kwake.
Jee Bi Aida Khenani, mbunge mtarajiwa wa Nkasi alikuwepo kwenye sherehe ya leo?

Amandla...
 
Huu ndo ukweli, namjua AIDA na nimekuwepo Namanyere tangu siku ya upigaji kura hadi kutangazwa matokeo, ilikuwa mbinde kweli kweli. Dada kapambana na majizi kwa nguvu hadi kunyang'anyana fomu za matokeo na Msimamizi wa kata ambazo baadaye zilijulikana ni feki. Mabomu ya mshindo zaidi ya 30 yamepigwa eneo la Halmashauri ya Nkasi kufukuza Wafuasi wake lakini walinawa maji na kujifunika vitambaa puani mapambano yakaendelea.

Mkuu wa Wilaya Said Mtanda na Mgombea wa chama chake walipita alfajiri tarehe 29/10 wakitangaza ushindi feki wa Ally Keissy, hali iliyowaamsha wananchi waliokuwa wanajua mshindi ni nani kuingia barabarani hadi Halmashauri kudai Mshindi halali atangazwe. Viongozi wa CHADEMA wanatakiwa kitumia busara kwa wale walioshinda, siyo kwamba wamepewa bure, wamepambana. Mbali ya kuwepo wizi lakini CHADEMA wamepata Madiwani 4 kati ya kata 17 baada ya mapambano makali.
Safi kabisa . Tunataka wapinzani kama huyo Dada .
Wapinzani waliojijenga kiitikadi kwenye majimbo kuanzia mioyoni mwa watu.
Watu wanaamua kupigania Mtu wao mpaka tone la mwisho la damu. Ukiona Viongozi wote wa upinzani wanakamatwa na kupigwa marungu na kusweka ndani lakini hakuna hata mtu anayeandamana ujue hapo hakuna viongozi ni genge la wapiga dili na walevi kama Mbowe.

Hata Petro alimkata mtu sikuo mbele ya Yesu pamoja na kwamba baadae alimkana lakini at least alionyesha kuwa alikua tayari kupigania Kwa kimwili.

Sio yule mmoja alikwenda akakuta mtu amechomewa Bendera yake na pia anadaiwa hela ya matibabu badala ya kumpa hela ya matibabu anampa libendera avae shingoni .
Pamoja na kwamba yule mgombea alileta amshaamsha lakini nilimshangaa sana .

Lakini kweli alishindwa kupitisha mchango pale kwa umma wote ule na kumpatia yule mgonjwa na mfia Chama hata milioni moja akatibiwa ? Mtu kama huyo atapataje watu wa kuweza kupigania hata Kwa Kupoteza maisha yao na kufungwa ?
Jamii ya kiafrika ina namna yake ya kuishi na watu na kukubalika Kwa udi na uvumba.
 
Usinukuu unavyotaka wewe, kushinda kwa AIDA hakuhalalishi wizi wa kura uliofanywa na CCM majimbo mengine.
 
Attachments

  • 20201106_035446.jpg
    20201106_035446.jpg
    70.4 KB · Views: 1
..hana historia ya kuwa mpambanaji kiasi cha kutegemewa awe jeshi la mtu mmoja ndani ya bunge.

..chadema wasitengeneze mgogoro naye ambao utaondoa focus na attention ktk kupinga dhuluma iliyotokea wakati wa uchaguzi.

..hataeleweka kwa kipindi kifupi, lakini vilevile anaweza kufunikwa na kusaulika kwa haraka ndani ya bunge. ila atasaidia kuwaweka pamoja wanachama wa chadema ktk eneo anakotoka.
Nimeelewa zaidi hiyo paragraph ya mwisho Sababu waliomchagua wataona viongozi ni wabinafsi
 
Huyu dada afutwe uanachama chadema haiwezi kufa wabunge wa ccm hawawezi kufanya maajabu yoyote ili kuendesha kukubalika na wananchi
halmashauri zote zipo chini ya ccm kipindi hiki viongozi wengi wanarudisha pesa walizotumia kwenye uchaguzi.

Tutegemee matumiz Mabaya ya pesa zetu na ukwepaji kodi mfano tajiri asas tangu muda mrefu amekuwa anasaidia kampeni ccm ili chadema waachie halmashauri nae huu ndio muda wake wakulipwa fadhira.
 
Huyu dada afutwe uanachama CHADEMA haiwezi kufa wabunge wa CCM hawawezi kufanya maajabu yoyote ili kuendesha kukubalika na wananchi, halmashauri zote zipo chini ya CCM kipindi hiki viongozi wengi wanarudisha pesa walizotumia kwenye uchaguzi.

Tutegemee matumizi Mabaya ya pesa zetu na ukwepaji kodi mfano tajiri Asas tangu muda mrefu amekuwa anasaidia kampeni CCM ili CHADEMA waachie halmashauri nae huu ndio muda wake wakulipwa fadhila.
 
Huyo asidanganye watu kuwa wana Nkasi wanataka aende bungeni, wana Nkasi wanaelewa sana hata akienda peke yake hakuna maana tena, Wana Nkasi ni wanamageuzi kama walivyo wanamageuzi wote nchini, kudhulumiwa kwao ni Kama nchi nzima ilivyodhulumiwa, Wana Nkasi watakuwa na raha gani ya kuwakilishwa na mbunge ambaye yuko peke yake nchi nzima, atatetea nini ? Yeye aseme CCM wamemfuata wakamtongoza Kama kina Silinde full stop, wanaNkasi hawana shida ya kuwakilishwa kwenye bunge lenye dhuluma lisilokuwa na tija yoyote ile.
 
Huyu dada afutwe uanachama chadema haiwezi kufa wabunge wa ccm hawawezi kufanya maajabu yoyote ili kuendesha kukubalika na wananchi
halmashauri zote zipo chini ya ccm kipindi hiki viongozi wengi wanarudisha pesa walizotumia kwenye uchaguzi
Tutegemee matumiz Mabaya ya pesa zetu na ukwepaji kodi mfano tajiri asas tangu muda mrefu amekuwa anasaidia kampeni ccm ili chadema waachie halmashauri nae huu ndio muda wake wakulipwa fadhira
Exactly afutwe ili Chadema isiwe sehemu ya uozo unaoenda kufanyika bungeni ambao ni daylight robbery .
 
Huyu dada afutwe uanachama chadema haiwezi kufa wabunge wa ccm hawawezi kufanya maajabu yoyote ili kuendesha kukubalika na wananchi
halmashauri zote zipo chini ya ccm kipindi hiki viongozi wengi wanarudisha pesa walizotumia kwenye uchaguzi
Tutegemee matumiz Mabaya ya pesa zetu na ukwepaji kodi mfano tajiri asas tangu muda mrefu amekuwa anasaidia kampeni ccm ili chadema waachie halmashauri nae huu ndio muda wake wakulipwa fadhira
Huyo asidanganye watu kuwa wana Nkasi wanataka aende bungeni , wanna Nkasi wanaelewa Sana hata akienda peke yake hakuna maana tena , Wana Nkasi ni wanamageuzi kama walivyo wanamageuzi wote nchini , kudhulumiwa kwao ni Kama nchi nzima ilivodhulumiwa , Wana Nkasi watakuwa na rdha gani ya kuwskilishwa na mbunge ambaye Yuko peke yake nchi nzima , atatetea nini ? Yeye aseme CCM wamemfuata wakamtongoza Kama kina Silinde full stop , wanaNkasi hawana shida ya kuwakilishwa kwenye bunge lenye dhuluma lisilokuwa na tija yoyote ile.
Exactly afutwe ili Chadema isiwe sehemu ya uozo unaoenda kufanyika bungeni , ambao Ni daylight robbery .

Hiyo ndio haki na demokrasia mnazozihubiri kila siku ila sasa mnataka kumnyima Aidah
Chadema hawajawahi kuwa serious na chochote wanachoongea na wala wanachokifanya
 
Chama kiliniamini kikarudisha mamlaka kwa wananchi na wananchi wamenipa mamlaka. Kama niliapa Chadema siwezi isaliti hali kadhalika siwezi wasaliti wananchi wa Nkasi Kaskazini...
Ni haki yake, na hapa ndio unaona umuhimu wa mgombea binafsi (independent candidate). Kwani wakimchomolea kadi, waliomchgua wataumia, ingawaje lazima CCM watamchukua na kulazimisha ushindi kama atakosa.

Ila mwanzo alisema angefuata uamuzi wa chama, sasa vipi tena?
 
Nani afuate uamuzi wa chama la kutetea ushoga?
 
Safi sana dada,let us go.
Ni kweli kabisa, yupo sahihi, ila kama chama hakitaki aende Bungeni, ni kumchomolea kadi badala ya kusema tu asiende wakati akiwa mwanachama. Ingawaje sababu za kuchomoa kadi ziwe halali na za msingi!!
 
Back
Top Bottom