Huyo asidanganye watu kuwa wana Nkasi wanataka aende bungeni , wanna Nkasi wanaelewa Sana hata akienda peke yake hakuna maana tena , Wana Nkasi ni wanamageuzi kama walivyo wanamageuzi wote nchini , kudhulumiwa kwao ni Kama nchi nzima ilivodhulumiwa , Wana Nkasi watakuwa na rdha gani ya kuwskilishwa na mbunge ambaye Yuko peke yake nchi nzima , atatetea nini ? Yeye aseme CCM wamemfuata wakamtongoza Kama kina Silinde full stop , wanaNkasi hawana shida ya kuwakilishwa kwenye bunge lenye dhuluma lisilokuwa na tija yoyote ile.