Huyu binti aende akawatete wananchi wake. Mbona wakati ule palikua Dr Slaa, Zitto Kabwe na wengine hawakufika 5, Bunge lilikua moto tuu.
Hutu mmoja na was CUF watapiga kelele tuu na kuitoa usingizini CCM.
Riziki yake huyu mmbuge muachieni. Nimaisha yake na ajira yake. Asipoenda munaongeza wasiokua na ajira. Muacheni akapambane na asionewe jamani, muacheni mwana mama aendele.
Misimamo ya kupambana na CCM iendele nje ya bunge. Hujuma imetendeka kama kunaushahidi pelekeni mahakamani. Na tupambane kudai katiba mpya kwa marithiano. Wakati mwingine, tutumie akili na sio nguvu kudai haki.
CCM niwaoga sana, na wanapenda sana kutumia polisi na vitisho, CHADEMA na upinzani mzima, tumieni akili kupamba na adui mwenye dola.