Mimba changa ya Mbowe inamhangaisha bidada wawatu, Mataga mnunulieni mwenzenu ndimu, kachumbari na pemba ili kupoza mihemko ya huyu pasikali..Rais Samia asije akamwamini Mbowe ni muongo muongo sana, aliangushwa na konyagi nyumbani kwa hawara Joyce Mkuya alafu akalitangazia taifa eti amepigwa na wasiojulikana.
Unazidi kuaibikaRais Samia asije akamwamini Mbowe ni muongo muongo sana, aliangushwa na konyagi nyumbani kwa hawara Joyce Mkuya alafu akalitangazia taifa eti amepigwa na wasiojulikana.
Kwa kweli Yule dikiteta ilikuwa ni balaa kama alithubutu kuvuruga uchafuzi mkuu wa 2020 bila au aibu aisee yule hapana.Na mambo mengine mengi tu,let the bygone be bygone and so on and so on!
Wewe huzijui?Sababu za kutakiwa kufukuzwa nini?
Kumbe tunazungumza uhuru wa kujieleza wengi wetu atujui maana yake
Aliharibu nchi snKwa kweli Yule dikiteta ilikuwa ni balaa kama alithubutu kuvuruga uchafuzi mkuu wa 2020 bila au aibu aisee yule hapana.
Tumia akili ...nyie mliandika mpaka kwenye magazeti yenu...ya TANZANITE NA FAHARI YETU..kua Mh.Mbowe amefia Dubai kwa ugonjwa wa Covid-19... MATAGA bhanaYakuwa wiki nne baada ya kukuzika wewe hivyo nasikitika kukutaarifu kuwa hutoweza kuyashuhudia Wala kuhudhuria!
Wasalimie wafu wenzako huko kuzimu!
Nyie na matoilet paper yenu ya Fahari yetu na Tanzanite mlituandikia kua amefia huko Dubai..Kwakweli mnanahangaika na mwamba, mnasahau kumuombea mtupoli ,tulishafukia anachezea vitasa tu mda wote nginjanginja mpaka JEHANAMU ... DADEKI
Mbowe yupo ,alikuepo na ataendelea kuwepo..✌🏽
Nyie MATAGA mliandika kwenye magazeti yenu TANZANITE na FAHARI YETU kua Mh.Mbowe( KAMANDA WA HANGA) kua Alicia Dubai?!Ndg Mbona Unajidhalilisha, kwa nini Unaandika Ujinga huu. Je umerogwa??
Ila mlisema amefia Dubai!!Relax mkuu siasa tu izi ila maisha ni muhimu sana.
MATAGA mlisema Mh.Mbowe amefia Dubai kwa ugonjwa wa Covid-19... Sasa mnaruka ruka kama maharaghe ya IringaHaijulikani ni lini hasa! Labda mpaka pale tutakapo malizia ya kwako kwanza.
😬😬😬 Mimi ni MATAGA tena!!!MATAGA mlisema Mh.Mbowe amefia Dubai kwa ugonjwa wa Covid-19... Sasa mnaruka ruka kama maharaghe ya Iringa
Wa kutumia akili ni Nani Kati yeti? Hebu Rudi kwenye comment yako ya kwanza uone akili yako isivyokuwa na ushirikiano na wewe! Usichokijua, usikishadadie! Umegeuka mpambe wa CDM ghafla huku ukiomba Lissu afe! Pathetic!Tumia akili ...nyie mliandika mpaka kwenye magazeti yenu...ya TANZANITE NA FAHARI YETU..kua Mh.Mbowe amefia Dubai kwa ugonjwa wa Covid-19... MATAGA bhana
Daah mkuu kutumia akili ni ngumu sana ..epuka kutumia ubongo maana ubongo ni hisia tuWa kutumia akili ni Nani Kati yeti? Hebu Rudi kwenye comment yako ya kwanza uone akili yako isivyokuwa na ushirikiano na wewe! Usichokijua, usikishadadie! Umegeuka mpambe wa CDM ghafla huku ukiomba Lissu afe! Pathetic!
Uthubutu wa hayati Magufuli ni chachu ya maendeleoMbunge pekee CHADEMA wa kuchaguliwa, Aida Khenani(Nkasi Kaskazini) akihojiwa na Clouds Media amefunguka yafuatayo.
Kwa bahati mbaya mama yangu hajui kabisa siasa anapenda sana kusali muda wote, mashangazi zangu ni CCM waliobobea, walikuwa wakinitolea laana, ili kulinda ndoto yangu nilihama nyumbani.
Jambo ambalo nitamkumbuka Hayati John Magufuli ni uthubutu wake haijalishi hicho kitu kitakuwa na athari kiasi gani lakini aliamini hayo yote yanawezekana kurekebishika, natamani na Mama Rais Samia Suluhu Hassan awe na uthubutu.
Mbowe hata kufa bali ataishi na kulitangaza Neno la Mungu aliyehai.AminaHivi mazishi ya Mbowe ni lini?
Kumshinda kwa sanduku la kura au kumsinda kwa kutumia tume?Huyu, wamuache kama walivyomuacha!
Pia, ana haki ya kumshukuru MWENDAZAKE, kwani ni yeye ndiye aliyeamua apate huo Ubunge. Kwa vyovyote vile, alikuwa hana ubavu wa kumshinda Kessy.
Kwa uchaguzi huru na wa haki Kessy asingetoboa vile vileHuyu, wamuache kama walivyomuacha!
Pia, ana haki ya kumshukuru MWENDAZAKE, kwani ni yeye ndiye aliyeamua apate huo Ubunge. Kwa vyovyote vile, alikuwa hana ubavu wa kumshinda Kessy.