Aida Khenani: Nilipewa laana nyumbani kisa CHADEMA. Nitamkumbuka Hayati Magufuli kwa uthubutu wake

Chadema walichemka sana kushiriki kwenye ule uhuni ulioitwa uchaguzi wa mwaka 2019 (Serikali za Mitaa) na ule wa 2020 (uchaguzi mkuu).

Wangesusua kama tulivyofanya wapiga kura wengi, nadhani wasingepata wabunge wasio jitambua, kama huyu Aida Kenani.
Lakini unamuonaje mpaka sasa hajasaliti chama na ameweka msimamo wake wazi kuwa atapambana
 
Rais Samia asije akamwamini Mbowe ni muongo muongo sana, aliangushwa na konyagi nyumbani kwa hawara Joyce Mkuya alafu akalitangazia taifa eti amepigwa na wasiojulikana.
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸƒπŸƒπŸƒ
 
Uliandika haya mwaka 2021, je bado ni ya kweli leo hii 2025? Halafu watanzania walivyo wanafiki, utashanga kuwa Kafulila aliaminiwa na Magufuli na kuapata ukuu wa mkoa wakati akiwa bado yuko CHADEMA lakini leo hii amegeuka amekuwa chawa wa CCM wa kutupwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…