Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,618
- 9,611
MBUNGE wa Jimbo la Nkasi Kaskazini mkoani Rukwa, Aida Khenani (Chadema) amewashauri wanaume mkoani humo wanaopigwa au kunyimwa unyumba na wenza wao wasione aibu na kunyamaza bali wazungumze ili wasaidiwe.
Alisisitiza kuwa visa vya kupigwa na kunyimwa unyumba na wenza wao ni ukatili huku akiwataka wasiogope bali wawe jasiri kuvunja ukimya vinginevyo wataendelea kuteseka kimya kimy.
"Wawe na ujasiri kama tulivyo sisi wanawake tumevunja ukimya kwa kupaza sauti zetu.......ukatili ni ukatili hata mwanamke anapompiga mwenza wake wa kiume ni ukatili vivyo hivyo kwa mwanaume,"a lisisitiz
Alitoa ushauri huo katika mahojiano na HabariLEO wakati dunia ikiwa katika mfululizo wa siku 16 za kuhamasisha mapambano dhidi ya ukatili wa kijinsia huku akikiri kuwepo kwa visa vya wanawake kuwafanyia ukatili wa kijinsia wenza wao wa kiume mkoani hum.
Alitoa rai kwa wanawake kuwa hata kama wamefanikiwa kimaisha waendelee kuwaheshimu waume zao bila kiburi vivyo hivyo kwa wanaume.
Baadhi ya wanaume waliohojiwa na gazeti hili kwa masharti ya kutoandikwa majina yao gazetini wamekiri kuwa wapo baadhi yao wanaofanyiwa ukatili wa kijinsia na wenzao.
Walikiri kuwa pia baadhi ya watumishi wa umma wanakumbwa na kadhia hiyo ya kupigwa na wake zao na hawasemi wanaumia kimya kimya.
Huku baadhi ya watoto wakipaza sauti zao wakieleza kutofurahishwa kwao na ukatili wanaofanyiwa na baadhi ya wazazi na walezi nyumba
nia.o...o.a.a.alezi nyumbani