Aidha tukio la "black swan" ndani ya Urusi litokee, la sivyo ngoma ni mpaka Crimea

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Ukraine wamedhamiria, wapo radhi kuendelea kulipa gharama, wanasukuma mapigo kwa kwenda mbele, kunao wanakufa ila ndio hivyo, ardhi lazima ikombolewe, wanasema mpaka sasa hamna gia itakayorudisha juhudi nyuma, kurudi nyuma ni kutoheshimu damu za ndugu zao waliokufa....

Kwamba kwa sasa namna ya kusitisha hivi vita ni pale aidha patokee tukio almaarufu kama "black swan" event, maana kwamba Warusi huko huko Moscow wafanye jambo wenyewe Kremlin, vinginevyo mtawaua lakini wataendelea kushambulia tu, historia lazima iandikwe namna vijana wazalendo waliikomboa nchi.

Hii ndio fursa nzuri, maana Mrusi keshakamatwa kwenye pembe na kubanwa mapua na mdomo, ndio muda wa kumfuma mkuki... keshaishiwa wanajeshi, hata wale wanywa gongo wanafagiliwa kama senene kila siku.
=================

Ukrainian forces could be back in Crimea by the end of December and the entire war with Russia will be over by the spring, a Ukrainian deputy defence minister has predicted.
Volodymyr Havrylov, a retired major general, said his country would never stop fighting until victory and had even factored in the potential of a Russian nuclear strike.

The minister, in an interview with Sky News, said he believed the probability of an atomic attack by Russia to be low, but said: "Yeah, it would be drama.

Banksy shares footage of visit to Ukraine - War latest

"For everybody it will be just - God knows what scenario - but it [a tactical nuclear strike] is not [a] threat which will stop us from... continuing our war."

In terms of the prospect for peace talks with the Kremlin, Mr Havrylov said they would only happen once Russian troops are ready to leave every inch of Ukraine, including the Crimean peninsula that President Vladimir Putin seized in 2014 and swathes of the east of Ukraine that have been held by Russian-backed separatists for the past eight years.

"There is a decision inside the society in Ukraine that we are going up to the end," he said in London during a trip to the UK this week.

"It doesn't matter what kind of scenario is on the table.

"People paid a lot of blood, a lot of efforts to what we have already achieved.

"And everybody knows that any delay or frozen conflict is only the continuation of this war against the existence of Ukraine as a nation."

Ukraine's troops, backed by Western weapons, achieved a hugely significant win earlier this month with the recapture of the southern city of Kherson, forcing Russian troops to retreat back to the eastern side of the Dnipro River.
Asked if the success made other goals feel more likely, such as retaking Crimea, Mr Havrylov said: "It's only a matter of time and, of course, we would like to make it sooner than later."

He said this could be helped by what is known as a "black swan" event - something unpredictable - happening in Russia, such as the sudden collapse of the Putin regime.

"I think Russia can face a black swan in their country, inside Russia and it can contribute to the success of us with Crimea," the minister said, speaking in fluent English.

Nonsense
 
Raha Gani mpaka Sasa hivi 20%ya Ukraine IPO chini ya warusi.

Nakumbuka wewe ulisema wakikomboa hata ekari 50 unaihama JF....

Binafsi nilitegemea msimike uongozi Kyev, nakumbuka nikiwatambia nyie makobaz humu namna wanajeshi wa Ukraine wataingia maporini na kuupa tabu uongozi mtakaosimika, watapigana kama waasi, wengi tuliamini siku tano na Ukraine inamilikiwa na Urusi, hata Zelensky alipewa ofa ya lift aondoke ndani ya nchi, ila akasema apewe silaha sio lift.

Leo jameni mpaka sasa bado nahisi kama ambaye naota, Ukraine walifanikiwa kufyeka upuzi wa Warusi na kufukuzia mpaka sasa Urusi wameambulia 15%, na zenyewe zinawapa tabu wanafyekwa kila siku, wamekusanya wafungwa na wanywa gongo ila wapi, wameomba msaada Iran ila wapi, hata Korea kwa Kim ila wapi.....piga mbwa
 
Generali wa jeshi la Ukraine amewambia wa Ukraine wenzake kwamba wasianze kucheza ngoma za mdundiko kwa kushangilia kwamba wamekomboa jiji la KHERSON akasema ngoma bado mbichi kabisa tunakalia asili mia 20% ya mjini wakati asili mia 80% bado zipo chini ya jeshi la Urusi, na kibaya zaidi wanajeshi wa Urusi wameondoka kwenye sehemu hizo kwa hiari bila mapigano -hivyo akawa shauri kwamba wawe makini sana chochote kinaweza kutokea kuanzia sasa, hata baadhi ya majenerali wa jeshi la Merikani wali waonya jeshi la Ukraine kuhusu suala la mkoa na jiji la KHERSON kwamba wawe makini sana kuhusu sehemu ya mji huo wanao ukalia hivi sasa, Warusi wanaweza kuwageuzia kibao ikatokea balaa kubwa kwa jeshi la Ukraine.
 
Nakumbuka wewe ulisema wakikomboa hata ekari 50 unaihama JF....

Binafsi nilitegemea msimike uongozi Kyev, nakumbuka nikiwatambia nyie makobaz humu namna wanajeshi wa Ukraine wataingia maporini na kuupa tabu uongozi mtakaosimika, watapigana kama waasi, wengi tuliamini siku tano na Ukraine inamilikiwa na Urusi, hata Zelensky alipewa ofa ya lift aondoke ndani ya nchi, ila akasema apewe silaha sio lift.

Leo jameni mpaka sasa bado nahisi kama ambaye naota, Ukraine walifanikiwa kufyeka upuzi wa Warusi na kufukuzia mpaka sasa Urusi wameambulia 15%, na zenyewe zinawapa tabu wanafyekwa kila siku, wamekusanya wafungwa na wanywa gongo ila wapi, wameomba msaada Iran ila wapi, hata Korea kwa Kim ila wapi.....piga mbwa
Yale maeneo aliyoshikilia urusi ndo maeneo tajiri.
 
Hahaha mnachekesha sana maustadh, ndio kete mnayotaka kushikilia, siamini macho yangu you've been reduced to this low, na bado, wanangu wa Ukraine endeleeni kutembeza kichapo, Mrusi sasa hivi ameishiwa kiasi haijatokea na haitokuja kutokea....
 
Hata kenya aliingia somalia na maneno ya kutia munkari kama haya

Kenya ilikwenda kupambana na wafia dini wenu wale, hawapo pale kupigana na Somalia, hata jeshi la Somalia linapambana nao pia, sio rahisi maana unapambana na watu walioahidiwa mabikira, ila kwa Ukraine, yule Mrusi amevamia na kujaribu kuparamia nchi ya watu, kilichomkuta Kyev hadi raha....
 
Ukraine wamedhamiria, wapo radhi kuendelea kulipa gharama, wanasukuma mapigo kwa kwenda mbele, kunao wanakufa ila ndio hivyo, ardhi lazima ikombolewe, wanasema mpaka sasa hamna gia itakayorudisha juhudi nyuma, kurudi nyuma ni kutoheshimu damu za ndugu zao waliokufa....

Kwamba kwa sasa namna ya kusitisha hivi vita ni pale aidha patokee tukio almaarufu kama "black swan" event, maana kwamba Warusi huko huko Moscow wafanye jambo wenyewe Kremlin, vinginevyo mtawaua lakini wataendelea kushambulia tu, historia lazima iandikwe namna vijana wazalendo waliikomboa nchi.

Hii ndio fursa nzuri, maana Mrusi keshakamatwa kwenye pembe na kubanwa mapua na mdomo, ndio muda wa kumfuma mkuki... keshaishiwa wanajeshi, hata wale wanywa gongo wanafagiliwa kama senene kila siku.
=================

Ukrainian forces could be back in Crimea by the end of December and the entire war with Russia will be over by the spring, a Ukrainian deputy defence minister has predicted.
Volodymyr Havrylov, a retired major general, said his country would never stop fighting until victory and had even factored in the potential of a Russian nuclear strike.

The minister, in an interview with Sky News, said he believed the probability of an atomic attack by Russiato be low, but said: "Yeah, it would be drama.

Banksy shares footage of visit to Ukraine - War latest

"For everybody it will be just - God knows what scenario - but it [a tactical nuclear strike] is not [a] threat which will stop us from... continuing our war."

In terms of the prospect for peace talks with the Kremlin, Mr Havrylov said they would only happen once Russian troops are ready to leave every inch of Ukraine, including the Crimean peninsula that President Vladimir Putin seized in 2014 and swathes of the east of Ukraine that have been held by Russian-backed separatists for the past eight years.

"There is a decision inside the society in Ukraine that we are going up to the end," he said in London during a trip to the UK this week.

"It doesn't matter what kind of scenario is on the table.

"People paid a lot of blood, a lot of efforts to what we have already achieved.

"And everybody knows that any delay or frozen conflict is only the continuation of this war against the existence of Ukraine as a nation."

Ukraine's troops, backed by Western weapons, achieved a hugely significant win earlier this month with the recapture of the southern city of Kherson, forcing Russian troops to retreat back to the eastern side of the Dnipro River.
Asked if the success made other goals feel more likely, such as retaking Crimea, Mr Havrylov said: "It's only a matter of time and, of course, we would like to make it sooner than later."

He said this could be helped by what is known as a "black swan" event - something unpredictable - happening in Russia, such as the sudden collapse of the Putin regime.

"I think Russia can face a black swan in their country, inside Russia and it can contribute to the success of us with Crimea," the minister said, speaking in fluent English.

Maneno yanayotia moyo na hamasa ya kumwondoa mrusi.
 
Kenya ilikwenda kupambana na wafia dini wenu wale, hawapo pale kupigana na Somalia, hata jeshi la Somalia linapambana nao pia, sio rahisi maana unapambana na watu walioahidiwa mabikira, ila kwa Ukraine, yule Mrusi amevamia na kujaribu kuparamia nchi ya watu, kilichomkuta Kyev hadi raha....
Ha ha ha ha ha ha ha

Mkuu umesema wameahidiwa nini?
 
Back
Top Bottom