Aidha tukio la "black swan" ndani ya Urusi litokee, la sivyo ngoma ni mpaka Crimea

Aidha tukio la "black swan" ndani ya Urusi litokee, la sivyo ngoma ni mpaka Crimea

You know nothing about military operations with neither war in infront line nor in media. Kilichoripotiwa ni kitu kikubwa sana kinachojenga morale kwa wapambanao. Hapo wanajeshi wa Ukraine wanaongeza juhudi na wanajeshi wa Urusi ambao wako Kherson na Crimea bila supplies wanajua mwisho wetu umekaribia.
Msiwe mnakurupuka bila kuelewa military strategies
 
Generali wa jeshi la Ukraine amewambia wa Ukraine wenzake kwamba wasianze kucheza ngoma za mdundiko kwa kushangilia kwamba wamekomboa jiji la KHERSON akasema ngoma bado mbichi kabisa tunakalia asili mia 20% ya mjini wakati asili mia 80% bado zipo chini ya jeshi la Urusi, na kibaya zaidi wanajeshi wa Urusi wameondoka kwenye sehemu hizo kwa hiari bila mapigano -hivyo akawa shauri kwamba wawe makini sana chochote kinaweza kutokea kuanzia sasa, hata baadhi ya majenerali wa jeshi la Merikani wali waonya jeshi la Ukraine kuhusu suala la mkoa na jiji la KHERSON kwamba wawe makini sana kuhusu sehemu ya mji huo wanao ukalia hivi sasa, Warusi wanaweza kuwageuzia kibao ikatokea balaa kubwa kwa jeshi la Ukraine.

Sahihisho: Wanajeshi wa Urusi hawakuondoka kwa hiyari bali walishindwa mapigano baada ya Ukraine kukata njia zote za kupeleka mahitaji kwa wanajeshi,na hata huko upande wa pili bado hawajiamini wameondoa command center Yao na kuipeleka karibu na Mariupol Kwa kuogopa kombora za Himars,ikitokea Ukraine imepata long range missiles kama ATACMS au Storm shadow bhas Russia kaisha.

Humu ulitabiri kwamba Ikifika November jeshi la Ukraine litakua limesagwa sagwa na kumalizwa kabisa na Urusi lkn Leo tunakaribia December na Urusi bado inaendelea kubanwa mbavu amebaki kushambulia energy infrastructures ili kuifanya Ukraine isalimu amri, Zelenksy Leo amekata mzizi wa fitina kasema hakutakua na mazungumzo yoyote na Urusi na kwamba Ukraine itaendelea kupigana mpaka kieleweke.
 
Nakumbuka wewe ulisema wakikomboa hata ekari 50 unaihama JF....

Binafsi nilitegemea msimike uongozi Kyev, nakumbuka nikiwatambia nyie makobaz humu namna wanajeshi wa Ukraine wataingia maporini na kuupa tabu uongozi mtakaosimika, watapigana kama waasi, wengi tuliamini siku tano na Ukraine inamilikiwa na Urusi, hata Zelensky alipewa ofa ya lift aondoke ndani ya nchi, ila akasema apewe silaha sio lift.

Leo jameni mpaka sasa bado nahisi kama ambaye naota, Ukraine walifanikiwa kufyeka upuzi wa Warusi na kufukuzia mpaka sasa Urusi wameambulia 15%, na zenyewe zinawapa tabu wanafyekwa kila siku, wamekusanya wafungwa na wanywa gongo ila wapi, wameomba msaada Iran ila wapi, hata Korea kwa Kim ila wapi.....piga mbwa
kwann hajahama jf tuanzie hapo kwanza
 
Generali wa jeshi la Ukraine amewambia wa Ukraine wenzake kwamba wasianze kucheza ngoma za mdundiko kwa kushangilia kwamba wamekomboa jiji la KHERSON akasema ngoma bado mbichi kabisa tunakalia asili mia 20% ya mjini wakati asili mia 80% bado zipo chini ya jeshi la Urusi, na kibaya zaidi wanajeshi wa Urusi wameondoka kwenye sehemu hizo kwa hiari bila mapigano -hivyo akawa shauri kwamba wawe makini sana chochote kinaweza kutokea kuanzia sasa, hata baadhi ya majenerali wa jeshi la Merikani wali waonya jeshi la Ukraine kuhusu suala la mkoa na jiji la KHERSON kwamba wawe makini sana kuhusu sehemu ya mji huo wanao ukalia hivi sasa, Warusi wanaweza kuwageuzia kibao ikatokea balaa kubwa kwa jeshi la Ukraine.
Kugeuza kibao kurudi walipopaachia?
 
Mwanzoni tulikuwa tunasema urusi anamiliki asilimia 15, kabla hajafurushwa huko kheson center.., baada ya kufurushwa hizo asilimia zitakuwa zimepungua kwa kiasi kikubwa sana

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom