Aidha tukio la "black swan" ndani ya Urusi litokee, la sivyo ngoma ni mpaka Crimea

You know nothing about military operations with neither war in infront line nor in media. Kilichoripotiwa ni kitu kikubwa sana kinachojenga morale kwa wapambanao. Hapo wanajeshi wa Ukraine wanaongeza juhudi na wanajeshi wa Urusi ambao wako Kherson na Crimea bila supplies wanajua mwisho wetu umekaribia.
Msiwe mnakurupuka bila kuelewa military strategies
 

Sahihisho: Wanajeshi wa Urusi hawakuondoka kwa hiyari bali walishindwa mapigano baada ya Ukraine kukata njia zote za kupeleka mahitaji kwa wanajeshi,na hata huko upande wa pili bado hawajiamini wameondoa command center Yao na kuipeleka karibu na Mariupol Kwa kuogopa kombora za Himars,ikitokea Ukraine imepata long range missiles kama ATACMS au Storm shadow bhas Russia kaisha.

Humu ulitabiri kwamba Ikifika November jeshi la Ukraine litakua limesagwa sagwa na kumalizwa kabisa na Urusi lkn Leo tunakaribia December na Urusi bado inaendelea kubanwa mbavu amebaki kushambulia energy infrastructures ili kuifanya Ukraine isalimu amri, Zelenksy Leo amekata mzizi wa fitina kasema hakutakua na mazungumzo yoyote na Urusi na kwamba Ukraine itaendelea kupigana mpaka kieleweke.
 
kwann hajahama jf tuanzie hapo kwanza
 
Kugeuza kibao kurudi walipopaachia?
 
Mwanzoni tulikuwa tunasema urusi anamiliki asilimia 15, kabla hajafurushwa huko kheson center.., baada ya kufurushwa hizo asilimia zitakuwa zimepungua kwa kiasi kikubwa sana

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…