Aids(ukimwi)

Aids(ukimwi)

health

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2012
Posts
325
Reaction score
39
Wanajamii napenda kuwatakia kila la kheri katika kazi zenu za kila siku. Ukiwa unafanya kazi zako wakati wa mapumziko unaweza kupata muda wa kujisomea na kuweza kupata uelewa zaidi kuhusu afya. Napenda kuwapa elimu ya namna ambapo mtu anaweza kuishi maisha ya kawaida bila kuwa na mashaka na afya na bila kuitwa mtu mwenye kuishi kwa matumaini kama wengi wanavyopenda kutamka ikiwa ni pamoja na majina mengine ambayo sipendi kuyatumia. Kuna dawa ambazo watu hupewa hospitalini ambazo hutumia na kuambiwa watumie kwa kuzingatia masharti. Hizi dawa watu wamekuwa wakitumia na mara wanapoacha hupata matatizo makubwa ikiwa ikiwa pamoja na vifo.
Watu wanapotumia dawa husababisha vijidudu kukimbia kwenye damu sababu huwa chungu na mara waachapo matumizi hurudi kwenye damu haraka sana sbb damu inakuwa haina tena ule uchungu. Wakati huo wadudu huwa wengi sana sbb wanakuwa wameshazaliana na kasi ya ushambuliaji wa seli ndiyo husababisha mtu kufariki ghafla baada ya kuacha matumizi.
Hapa kuna products za lishe ambazo zimefanyiwa utafiti wa miaka mingi na kuonekana hazina madhara na zinaweza kutumika kwa ajili ya afya. Hizi hapa huwa zinafanya kazi tofauti na dawa tunazopewa hospitalini. Zinakuwa zinatengeneza layer ambayo huzunguka seli na kuifanya seli kutoshambuliwa na vijidudu na kumfanya mtu kuishi kwa afya njema bila kuwa na shaka.

CORDY ACTIVE
Bidhaa hii imetokana na mmea wa cordy ceps, sinensis. Mmea huu unapatikana Asia Mashariki uko kwenye familia ya kutumia mizizi na uyoga. Kinatumika kiini chake kinachoitwa cordy cepine.
FAIDA ZA CORDY ACTIVE

  • Huimarisha kinga ya mwili. Uchunguzi unaonyesha kuwa bidhaa hii ina kila kitu tunachohitaji mwilini(vitamin,wanga,protini,madini nk)
  • Huondoa matatizo yote kwenye mfumo wa hewa(upumuaji).
  • Huponya pumu, dyspnea, allergy, homa ya mafua
  • Kuondoa msongo wa mawazo na uchovu mwilini.
  • Kuondoa matatizo ya figo, moyo kutanuka.
  • Matatizo ya uvimbe, kuzuia kansa kuenea mwilini

REISHI
Bidhaa hii inatokana na uyoga mwekundu unaotoka Asia ya mashariki, China, Japan. Uyoga(Ganoderma licidum) unaaminika sana Asia ya mashariki kuwa ni mmea ambao unawapa urefu wa maisha.
FAIDA YA REISHI

  • Kuimarisha mfumo wa kinga mwilini
  • Inapunguza kasi ya kuzeeka
  • Inaimarisha utendaji kazi wa moyo
  • Inaondoa uchovu mwilini
  • Inaimarisha ubongo,kumbukumbu na usikivu
  • Inatibu presha ya kushuka
  • Inatibu vidonda vya tumbo
  • Inatibu pumu, allegy
  • Inasaidia kupunguza msongo wa mawazo na kukupa usingizi mzuri
  • Inapambana na maambukizi ya bacteria na fungus
  • Inasaidia mwili kujikinga na kansa
  • Inatibu matatizo ya candida

CA + FE + ZI PLUS

  • CA – Madini ya Chokaa
  • FE – Madini ya Chuma
  • ZI – Madini ya Zinki
FAIDA ZA MADINI YA CHOKAA

  • 5% ni uzito wa mwili wa binadamu na ni 2% ya uzito wa binadamu ni madini ya chokaa.
  • Madini ya chokaa yanaimarisha mfumo wa kinga mwilini
  • Madini haya yanasaidia utendaji wa kazi mwilini
  • Madini ckokaa yanaimarisha mishipa ya hisia na ubongo
  • Madini chokaa yanasaidia kugandisha damu mtu anapopata majeraha
FAIDA ZA MADINI CHUMA

  • Hutumika kutengeneza damu hasa Red blood cells ambazo husafirisha oxygen
  • Huimarisha mfumo wa mishipa ya hisia mwilini
  • Huongeza uwezo wa kufikiria na nguvu ya ubongo kwa binadamu
  • Huongeza nguvu mwilini
FAIDA ZA MADINI YA ZINKI

  • Inaimarisha mfumo wa uzazi kwa wanaume
  • Inaimarisha milango ya fahamu
  • Kutibu vidonda vya ndani na nje wa binadamu
  • Inatunza ngozi na kulinda ngozi na nywele
  • Inaondoa matatizo ya macho.

GOLDEN SIX
Golden Six imetokana na mimea sita(six golden herbs) inamaanisha mimea sita yenye thatmani.
Golden six inahusika na sehemu zifuatazo;

  1. Mishipa ya hisia
  2. Figo
  3. Kuinua kinga ya mwili na kinga ikiwa nyingi kwenye mwili inasaidia uroto kwenye mifupa(born marro), ndiyo inatengeneza cell za mwili.
  4. Inapunguza kasi ya kuzeeka kwa kuondoa madhara ya uzee.
Utendaji kazi wa Golden six;

  • Golden six ina kinga kubwa kwenye mwili, ukiitumia vizuri inakwenda kusawazisha kinga kwenye mwili.
  • Inarutubisha uroto kwenye mifupa nah ii hutengeneza chembechembe nyeupe za damu kwa haraka.
  • Golden six inasafisha figo kwa kuipa nguvu ya kusafisha damu, kuondoa sumu mwilini kama vile uric acid.
Uric acid ikiwa kwenye viungo husababisha kuumwa kwa viungo.

  • Kuhisi uchovu
  • Kutokwa na jasho sana
  • Kuumwa sehemu ya chini ya mgongo na pia kukosa usingizi.
Inapunguza kasi ya kuzeeka kwa kuondoa madhara ya uzee mfano;

  • Kupoteza kumbukumbu
  • Kutoona vizuri
  • Misuli kukosa nguvu
  • Chembechembe za mwili kufa kwa haraka
  • Inajenga mishipa ya hisia na kuondoa matatizo ya kupooza
  • Kwa waliopooza na kuathirika kwenye mdomo (mdomo kupinda) katika mazungumzo inawasaidia na kurekebisha mazungumzo yao.

FAIDA ZA GOLDEN SIX

  • Stroke(kupooza)
  • Kukosa usingizi
  • Hypomnesis
  • Kupoteza kumbukumbu
  • Kuumwa na viungo
  • Kusafisha damu
  • Husaidia presha ya kupanda inayosababisha mishipa kubana hii hutokana na aina Fulani ya Adrino gland ambayo hutoa kemikali, husababisha kubana kwa mishipa ya damu.
  • Matatizo ya wanawake na ukomo wa wanawake

Gharama za Cordy active ni 66000/-, Reishi ni 85000/-, CA+FE+ZI Plus ni 51000/- na Golden Six ni 38000/=
Yeyote anayehitaji ushauri au swali anaweza kuniandikia kupitia ishealthy@hotmail.com pia napatikana kwa namba 0776491294
 
Attachments

  • CORDY ACTIVE.jpg
    CORDY ACTIVE.jpg
    16 KB · Views: 112
  • REISHI.jpg
    REISHI.jpg
    16.2 KB · Views: 106
  • GOLDEN SIX.jpg
    GOLDEN SIX.jpg
    14 KB · Views: 81
Tuliza mawazo yako ili uweze kusoma kwa utaratibu na kuelewa bila kikwazo. Ni muhimu sana kwa wewe kupata huu uelewa
 
ni kweli yahitaji kutuliza akili wakati ukisoma!!mm hata nikituliza sitamaliza kusoma yote hayo, labda uniambie hizo dawa aina aina anakunywa mtu kwa wakati mmoja?!!!
 
ni kweli yahitaji kutuliza akili wakati ukisoma!!mm hata nikituliza sitamaliza kusoma yote hayo, labda uniambie hizo dawa aina aina anakunywa mtu kwa wakati mmoja?!!!
Yahitaji kuwa na muda na usiwe na haraka sana ukitaka kuelewa jambo muhimu kama hilo. Nataka nikusahihishe kuwa hizo siyo dawa bali ni lishe iliyoandaliwa kiasilia na isiyokuwa na madhara yoyote katika mwili wa binadamu. Kuhusu matumizi yake ni kuwa kila moja ina umuhimu wake katika mwili kwa wakati huo hivyo utapewa maelekezo namna utakavyokuwa unatumia
 
Nakumbushia swali la Mr.Busta maana halijajibiwa. Na mimi nahitaji kujua.
Hizo bidhaa unatumia kwa muda gani hadi kupata matokeo yaliyoahidiwa? Je ukishapata hayo "matokeo mazuri" unatakiwa kuendelea kutumia kwa maisha yote au?
 
Last edited by a moderator:
mimi nafahamu nia ni kufanya biashara, sasa ukitaka kuchukua zote inakuwa jumla ngapi?
 
Haitakiwi kutumia kipichi chote. Anatumia CD4 zikipanda anaacha anakuwa anatumia tena zote kwa kila baada ya miezi 3

ina maana akiwa anatumia hizo lishe hana haja ya arvs?
 
ina maana akiwa anatumia hizo lishe hana haja ya arvs?

Kama alikuwa nazo ataendelea kutumia wakati huo akiwa anatumia hizi products na baadaye CD4 zake zitakuwa zimepanda na ataachana nazo. Baada ya hapo hatakuwa tena anatumia hizo ARVs
 
Haitakiwi kutumia kipichi chote. Anatumia CD4 zikipanda anaacha anakuwa anatumia tena zote kwa kila baada ya miezi 3

inamaana kila baada ya miezi 3 unatumia ARVs pamoja na dawa zako au inakuwaje?na kama hajaanza kutumia ARVs anapotumia dawa zako inachukua muda gani kupandisha CD4? Na zinaubora wa tbs?
 
inamaana kila baada ya miezi 3 unatumia ARVs pamoja na dawa zako au inakuwaje?na kama hajaanza kutumia ARVs anapotumia dawa zako inachukua muda gani kupandisha CD4? Na zinaubora wa tbs?

Akishatumia CD4 zikipanda haitajiki tena kurudia hizo ARVs. Kuhusu kurudia kutumia hizo products inategemea na afya ya mtu husika. Kuna mfano watu ambao hufanya mazoezi kama inavyoshauriwa hailazimu kurudia kila baada ya miezi 3. Kwa watu wa namna hii huweza kurudia kila baada ya miezi 4 au 5 na pia katika kurudia siyo kwamba arudie kwa products zote bali atakuwa anarudia kutumia REISHI na CORDY ACTIVE. Maelekezo hutofautiana kutokana na afya ya mhusika. Na maelezo kama hayo huainishwa zaidi kwa mhusika. Nashukuru Mr.Busta kwa swali lako zuri.
 
Mkuu zina uthibitisho au kibali cha TFDA, MKemia Mkuu wa serikali na TBS? Kumbuka dawa ni kitu kinaingia mwilini na damuni kwa hiyo matumizi yake ni lazima yathibitishwe maana tumekuwa na madawa mengi sana ambayo ni feki au hayajapata kibali kutumika nchini kwetu!! Na kuruhusiwa katika maduka ya dawa!
 
Hizo siyo dawa napenda kuwajulisha wanajamii. Hizo ni food suppliments ambazo zimeandaliwa kiasilia na zimefanyiwa research muda mrefu sana na kuonekana kutokuwa na madhara katika afya. Zimethibitishwa kutumika kimataifa
 
mkuu usijeukawaza tofauti kwa wingi wa maswali yanayokaribia kufanana bali tunahitaji kujiridhisha zaidi.ktk suala la kutambulika kwa products au kudhibitisha mpaka kuingia soka hata kama ni lishe lazima mamlaka ya chakula ipitie na kujiridhisha.je unakibali ambacho mamlaka imejiridhisha?ili turidheke mbali ya kusema inatambuliwa kiwataifa?
 
hongera, lkn tafuta njia nyingine kukupata, sio jf tu, wengine tunasoma kidgo na kutok, kwa hiyo ukurasas hu hauna kakika kuuoana tena
 
mkuu usijeukawaza tofauti kwa wingi wa maswali yanayokaribia kufanana bali tunahitaji kujiridhisha zaidi.ktk suala la kutambulika kwa products au kudhibitisha mpaka kuingia soka hata kama ni lishe lazima mamlaka ya chakula ipitie na kujiridhisha.je unakibali ambacho mamlaka imejiridhisha?ili turidheke mbali ya kusema inatambuliwa kiwataifa?

Hivyo vyote vipo na hakuna shaka kabisa
 
Back
Top Bottom