Aie Holding Ltd kampuni toka Israel kuwekeza TZS 575B kwenye kilimo na kutoa ajira za moja kwa moja elfu 70

Hujanijibu bado ulichoandika toa uthibitisho...
Nitakujibu vipi wakati wewe ni mvuvi wa kusoma.
Nilichokiandika hapa kilishaandikwa humu jamii kwa nini usifuatilia mada za nyuma huko fahamu
 
Nitakujibu vipi wakati wewe ni mvuvi wa kusoma.
Nilichokiandika hapa kilishaandikwa humu jamii kwa nini usifuatilia mada za nyuma huko fahamu
Uliandika wewe???Andiko hilo linahusianaje na swali nililokuuuliza.Mimi nimekoment kwenye ulichoandika maana sion mantik wala facts
 
Hiyo pia ni akili inayowatofautisha wao na sisi. Chukua ukubwa wa ardhi ya Israel halafu ilinganishe na ya kwetu halafu linganisha kinachozalishwa kwao na hiki kinachozalishwa hapa Tanzania.

Akili zikiwa nyingi tofauti hujionyesha.
ukweli wako umeniuma sana....anyway kanywe soda kwa mangi nakuja kulipa
 
Wengi mkisikia ajira tu, masikio yanainuka bila kujua unaajiliwa kufanya nini? Hao hawaji kukuondolea matatizo, wanakuja kutafuta ulaji wa wananchi wa Israel, sawa na ulivyotawaliwa ukalima mkonge na pamba kwa ajili ya nchi zao. Hakuna kitu hapo na huenda, hii itakuwa laana kwa baadhi ya wananchi vijijini kuporwa mashamba kwa kisingizio cha Israel. umesahau biofuel na bagamoyo kuporwa mashamba? halafu kumbuka BRN morogoro wakataka kuporwa mashamba ya mpunga ili akina Mkapa walime miwa ya viwanda vyao. Tusifiche!!!!!!!!
 
Mkuu robinson crusoe kwanini unamawazo yote hasi kuihusu nchi yako?

Hebu tusiwe mashekh Yahya Hussein,

Tuupe muda muda,
 
upepo Tsuna
Kila nchi inafanya ujasusi. Ni mambo ya kawaida. Kama maadui wa Israel wapo hapa Tanzania, lazima wa Israel wafanye ujasusi ili wajue maadui wao wanachofanya na wanachopanga kukifanya ili waweze kuilinda Israel na raia wao.
Huo ni ukweli wa wazi,

Ningumu kuzuia ujasusi kwa nchi kama Tanzania
 
Wakati Rais Samia anakwepa gharama ya mafuta ya TZS 270M kwa kupanda usafiri wa Umma | Rais Joao wa Angola ametumia TZS 9.5B kwenye Safari hiyo hiyo


#KAZI IENDELEE KWA KASI &WELEDI ZAIDI
 
Dunia inakoelekea nchi nyingi sana zenye pesa na uchumi mzuri ila hawana ardhi ya kulima au hali ya hewa hairuhusu Kilimo cha chakula wanakimbilia kuwekeza Africa

Wachina wanahitaji chakula na hawa wayahudi wanawekeza zaidi kwenye chakula ili baadae wawauzie Europe na hata Arab countries

Ila na sisi tusiwe wa kuuza chungwa Mia tano hapana
 
Uko sahihi kabisa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…