Aie Holding Ltd kampuni toka Israel kuwekeza TZS 575B kwenye kilimo na kutoa ajira za moja kwa moja elfu 70

Magufuli anastahili pongezi ndio aliyerudisha mahusiano na Israel kwa kufungua ubalozi leo haya ndio matunda yake
 
Unajua Rais Samia amejenga madarasa elfu 18?

Endelea kumwombea
 
Unajua Rais Samia amejenga madarasa elfu 18?

Endelea kumwombea
 

Anawezaje haya yote huyu mama?

SGR TZS 10.2T ni Yeye,
SG TZS 6.55T ni Yeye
Madarasa mapya manne kila sekondari nchi nzima,
Madawati 120 kila sekondari nchi nzima
 
14|10|2021

Rais Samia atakuwa Chato kwenye kuzima Mwenge

Sherehe zitafanyika Uwanja wa Magufuli,

Karibu sana njoo Uungane na Rais wako,


_________________
 
πŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏ

Miezi sita ya Rais Samia,

Nchi imetulia tuli,
Wawekezaji kama wote
Wahisani kama wote
Wananchi Shangwe kila kona

#KAZIIENDELEE
 
πŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏ


Miezi sita ya Rais Samia,

Nchi imetulia tuli,
Wawekezaji kama wote
Wahisani kama wote
Wananchi Shangwe kila kona

#KAZIIENDELEE
 

Kwa hiyo unasemaje, wasije?? Toa suluhisho la jambo ulilolisema! Mijitu mingine bana! Kuna kitu hujui, balazi zote duniani hufanya ujasusi - je balozi zisiwepo??
 
Kwa hiyo unasemaje, wasije?? Toa suluhisho la jambo ulilolisema! Mijitu mingine bana! Kuna kitu hujui, balazi zote duniani hufanya ujasusi - je balozi zisiwepo??
Ww ni zombi
Ni mwanachama wa New world Order shetani . Toa upuuzi wako
 
πŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏ

Kutoka Mwaka 2015/16 hadi 2020/21 pesa iliyoongezwa bodi ya mikopo ilikuwa Tshs 101BL na wanafunzi wapya walikuwa elfu 32 ,

Awamu ya sita kwa miezi sita pesa iliyoongezwa kwenye bodi hiyohiyo ni Tsh 120b na wanafunzi wapya ni elfu 29

Budget ya HESLB kwa mwaka 2015/16 ilikuwa 348.7B kwa wanafunzi 98,300

Budget ya HESLB mwaka 2020/21 ilifikia 450B kwa wanafunzi 130,883

_________________________

Awamu ya sita kwa miezi sita imeongeza budget kutoka 450B za awali hadi 570B za sasa na idadi ya wanufaika imeongezeka na kufikia 160,000.

#Hoja hapa ni muda wa matokeo

#HAKUNA KAMA SAMIA
 
Hakuna kama Rais Samia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…