Aie Holding Ltd kampuni toka Israel kuwekeza TZS 575B kwenye kilimo na kutoa ajira za moja kwa moja elfu 70

Viva Samia Viva,
Viva Mpango Viva
 
Hongera sana Rais Samia kwa hili, Hakika unatukosha sana,
 
100% Kwa 100% Kweli!
 
Ndio
 
Good hope
 
Mimi ni Chadema damu ila mama ananikosha sana,

Samia anafanya mambo ambayo hata wapinzani tumempenda,

Hivi mtu anayetuletea ajira elfu 70 sinawakuungwa mkono huyu?

Bora tuvunje kwa muda vyama tubaki na Samia tu,

Nikweli hakuna kama Samia
Tusifurahie ajira tu! Bali tuhimize vijana wetu na ile idara yetu pendwa iwaandae vijana wetu kuvivaa viatu vya wachina ktk kujifunza, na hata ikiwezekana kubobea kabisa ktk kila kitu hawa wawekezaji wanachofanya.
 
Unahoja nzuri sana hii mkuu
 
Tusifurahie ajira tu! Bali tuhimize vijana wetu na ile idara yetu pendwa iwaandae vijana wetu kuvivaa viatu vya wachina ktk kujifunza, na hata ikiwezekana kubobea kabisa ktk kila kitu hawa wawekezaji wanachofanya.
Uko sahihi mjomba
 
Mambo ni moto sana
 
Mama napenda uvaaji wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…