Aie Holding Ltd kampuni toka Israel kuwekeza TZS 575B kwenye kilimo na kutoa ajira za moja kwa moja elfu 70

Mimi ni Chadema damu ila mama ananikosha sana,

Samia anafanya mambo ambayo hata wapinzani tumempenda,

Hivi mtu anayetuletea ajira elfu 70 sinawakuungwa mkono huyu?

Bora tuvunje kwa muda vyama tubaki na Samia tu,

Nikweli hakuna kama Samia
Njoo CCM acha ushamba
 
Umeandika Vizuri sana,
 
Nakuunga mkono CHADEMA
 
Tayari
 
Hakika Rais Samia anaupepo mzuri | Aie Holding Ltd kampuni toka Israel kuwekeza TZS 575bl kwenye kilimo na kutoa ajira za moja kwa moja elfu 70

MUNGU IBARIKI TANZANIA
Wameshaanza kufanya huo uwekezaji au bado?
 
Anaitwa mama, rais wa JMT, amir jeshi mkuu, kipenzi cha watu, Tanzanite lady, mkombozi wa watanzania
 
Tanzania kwa miaka yake yote 60 haijawahi kupata Rais Mwanamke ,

1.Mchapakazi

2. Mchamungu,

3. Mpole

4. Mwadilifu,

5. Mpendahaki,

#HAKIKA HAKUNA KAMA SAMIA
 
Anaitwa mama, rais wa JMT, amir jeshi mkuu, kipenzi cha watu, Tanzanite lady, mkombozi wa watanzania
 
Kaziiendelee
 
Ajira elfu 70 za aina gani?walinzi na madereva?wahandisi ?mishahara ya Tsh ngapi?lakimbili au milioni 2?
 
NIKWELI HAKUNA KAMA SAMIA,

Samia anakibali toka kwa Mungu

Watu walifungua makampuni wakasepa Leo wanarudi baada ya sera nzuri za Rais Samia,

Nafanyaje namimi nipate kazi huko?
Kweli HAKUNA KAMA MAMA.....NAOMBA MUNGU NIPATE HATA U PROJECT MANAGER
 
"Kama Katiba ingeruhusu Mhe Samia Suluhu Hassan hakupashwa kuwa Rais wa mihula miwuli pekee,

Huyu Mama walau kwa Uchache angestahili miaka walau 15 "
 
Tanzania kama speed ni hii basi mpaka 2030 huenda Tanzania ndio ikawa nchi yenye Uchumi mkubwa Africa,Tumwombe sana Mungu wetu katika hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…