Aie Holding Ltd kampuni toka Israel kuwekeza TZS 575B kwenye kilimo na kutoa ajira za moja kwa moja elfu 70

Unapoona Mu israel au kampuni elewa muda wowote anaweza akatumika Kama jasusi...wako vizuri..wametapakaa kila Kona duniani..
 
M
NIKWELI HAKUNA KAMA SAMIA,

Samia anakibali toka kwa Mungu

Watu walifungua makampuni wakasepa Leo wanarudi baada ya sera nzuri za Rais Samia,

Nafanyaje namimi nipate kazi huko?
Mpongezeni Magufuri alifungua ubalozi na lsrael, maana tangu nyerere adi kikwete akuna aliyekuwa na maono hayo,Samia anavuna mazao ambayo akuyatabikia.
 
Ni jambo jema kama ni kweli,kwa maana Uchumi ulidorora sana enzi za Mhutu.

Tunataka KATIBA MPYA NA TUME HURU
 
M

Mpongezeni Magufuri alifungua ubalozi na lsrael, maana tangu nyerere adi kikwete akuna aliyekuwa na maono hayo,Samia anavuna mazao ambayo akuyatabikia.
Hata akimpongeza atasikia?!

Yaliyopita yamepita tujenge Taifa letu,

Samia na Magufuli kwenye Uzalendo hawana tofauti kabisa wanapishana kwenye namna ya kuutekeleza tu huo Uzalendo wao,
 
wapalestina watakuja lini? na unafahamu msimamo wa mama
 
"Na kuna mijitu inashangilia" weJamaa bhana...[emoji28]

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…