Aina 11 ya JF members, wewe uko wapi?

Aina 11 ya JF members, wewe uko wapi?

Mpaka muda huu bado sijajiona nipo kundi lipi lakini naendelea kufatilia makundi na weza kuwepo pahala huko mbeleni.....

Narudi.....
 
13. Walinda wake/waume zao.
Hili ni kundi la Me/Ke ambao muda wote wanafatana jukwaani na kugandana kama ruba.
Ukimuona mama kaanza kucomment basi jua baba yuko nyuma yake AU ukimuona baba kaanza kucomment basi jua mama yuko nyuma yake.

14. Wakeshaji wa Pm.
Hili pia ni aina ya kundi hasahasa wanaume ambao jukwaani huwaoni waki-comment, kuanzisha nyuzi, kulike au ku tag ila ukienda katika wall yao utawakuta wako active na wako online.
Kumbe wanakesha pm na u-active na u-online wao uko Pm tu.
Anatembea Pm karibu siku yake nzima kama afisa kilimo akiwa shambani

15. Wambea/wasengenyaji Pm
Hili kundi sanasana tuko sisi jinsia ya kike.
Yaani utakuta kuna umbea unatembea chini kwa chini huko Pm mpaka unajiuliza huko Pm kuna forum ingine!
Sema mambo yakitindinganya, tutajua Jf nzma.
Mi ngapi?
 
Kundi langu lilishavunjwa mana watu kma sisi nafkiri nimebaki mim tu.
 
Back
Top Bottom