ABiClever Junior
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 948
- 548
Mim nipo 5,6,7 na 11
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Humu Jf.Hiyo namba 15 kumbe ipo?
Umeona eeee.[emoji23][emoji23][emoji23]kweli tupu
Mwenye chaja ya pin ndogo aniazime
Duuh mbona Mimi huo umbea siupagagi jamani.Humu Jf.
Ipo kama yote.
Humu kuna umbea balaaaaa
Mi ngapi?13. Walinda wake/waume zao.
Hili ni kundi la Me/Ke ambao muda wote wanafatana jukwaani na kugandana kama ruba.
Ukimuona mama kaanza kucomment basi jua baba yuko nyuma yake AU ukimuona baba kaanza kucomment basi jua mama yuko nyuma yake.
14. Wakeshaji wa Pm.
Hili pia ni aina ya kundi hasahasa wanaume ambao jukwaani huwaoni waki-comment, kuanzisha nyuzi, kulike au ku tag ila ukienda katika wall yao utawakuta wako active na wako online.
Kumbe wanakesha pm na u-active na u-online wao uko Pm tu.
Anatembea Pm karibu siku yake nzima kama afisa kilimo akiwa shambani
15. Wambea/wasengenyaji Pm
Hili kundi sanasana tuko sisi jinsia ya kike.
Yaani utakuta kuna umbea unatembea chini kwa chini huko Pm mpaka unajiuliza huko Pm kuna forum ingine!
Sema mambo yakitindinganya, tutajua Jf nzma.
Rafikii...!![emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16]Hahahaha
Same to me!!5&11
Mambo RafikiRafikii...!![emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16]
Safi shikamooo!!!Mambo Rafiki
Marhabaa bibie ,umeamkaje ,watoto ,mumeoSafi shikamooo!!!
Wewe itakuwa wamekutenga.Duuh mbona Mimi huo umbea siupagagi jamani.
Au nimetengwa nini[emoji23][emoji23][emoji23]