Aina 20 za wasichana ambao hupaswi kufanya nao ngono bila kinga

Aina 20 za wasichana ambao hupaswi kufanya nao ngono bila kinga

19. Kama jina lake ni Rachel, Irene ,Debora , — kondomu tisa. 😂
Hii ni sehemu ya utani wa mitandaoni—jina la mtu haliwezi kukuambia tabia yake.

20. Kama amekasirika akisoma hii post — KONDOMU TATU! 😂🔥
Wenye hatia huwa wanapaza sauti!


Wangu Sivai Kondom.

Pia sijamuona kwenye namba yoyote . Na pia jina sijaliona namba 19.

Namba 18 kama akisema wanaume wote ni sawa naungana na yeye.
Sisi wote ni ubwaa.

Ila namba 20 sasa ndio nataka kujua amekasirika baada ya kuona hii List au lah.😊😊😊

Cc win-one
Na shem ephen_ .
 
Anaweza asiwe malaya ila akilewa pombe hana maamuzi. Wanawake wengi waliopo kwenye ndoa wanapigwa kimasiala kwasababu ya pombe.
Umesema wanawake waliopo kwenye ndoa wanaliwa kwa sababu ya pombe afu hapo hapo unasema anaweza asiwe malaya, au mm Sijakuelewa?
Mana sijaona utofauti ulichosema na mm nilichosema
 
Back
Top Bottom