Aina 20 za wasichana ambao hupaswi kufanya nao ngono bila kinga



Wangu Sivai Kondom.

Pia sijamuona kwenye namba yoyote . Na pia jina sijaliona namba 19.

Namba 18 kama akisema wanaume wote ni sawa naungana na yeye.
Sisi wote ni ubwaa.

Ila namba 20 sasa ndio nataka kujua amekasirika baada ya kuona hii List au lah.😊😊😊

Cc win-one
Na shem ephen_ .
 
Anaweza asiwe malaya ila akilewa pombe hana maamuzi. Wanawake wengi waliopo kwenye ndoa wanapigwa kimasiala kwasababu ya pombe.
Umesema wanawake waliopo kwenye ndoa wanaliwa kwa sababu ya pombe afu hapo hapo unasema anaweza asiwe malaya, au mm Sijakuelewa?
Mana sijaona utofauti ulichosema na mm nilichosema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…