Aina 20 za wasichana ambao hupaswi kufanya nao ngono bila kinga

NNa
Na kama Hana yote hayo 20 bado Vaa Kinga yawezekana amekuficha usiyaone.
 
Linda afya yako.
Linda maisha yako.
Linda maisha ya mwenza wako.
Ukifika chimbo ukasikia manzi anajiita PAKOME vaa KONDOMU 12 utanishukuru pia uwe na zana za kivita ukiweza beba sime la kimasai maana kuanzishiwa vagi ni muda wowote
 
Yule jirani fulani hivi decent, Body count inasoma ONE wewe ndo wa pili ila aliambukizwa na aliyemtoa bikira ndo anakuamishia wewe.
 
Unaweza kuwa na church girl na akawa na tabia hatarishi pia

Japo angalizo lako ni muhimu sana nyakati hizi ambapo imekuwa vigumu kumtambua kwa macho mwenye maambukizi
 
Kukumbatia transform ni hatari Sana … humu ndani thread hii haitakamilika bila kumuona Isenye na kiagata …njooni mtoe mrejesho wa kukumbatia transforma…😜
 
Ongezea
Kama umemdaka kutoka dating site yoyote humu duniani.. huyu lazima uvalie spesheli…body count zao Mara nyingi ni kuanzia zile number za king suleiman wa kwenye biblia…
 
Yule jirani fulani hivi decent, Body count inasoma ONE wewe ndo wa pili ila aliambukizwa na aliyemtoa bikira ndo anakuamishia wewe.
Yeah umenena crucial point sana.

Haya mambo ni zig zag pattern, yule ambae unamkadilia atakuwa na voltage ⚡ mwilini kumbe ndo safe.

Alafu yule safe kumbe ndo ana current electricity yakutosha kuwasha mji mzma 😄.

Fatal means there’s no set way you can die anywhere.
 
Reactions: Tsh
Wapeni tips sasa na wanawake, ni aina gani za wanaume hawapaswi kufanya nao ngono bila kinga! 😊
 
Unakuta mpenzi wako decent kweli alitembea mara moja tu na mwanaume ambaye ni mume wa mwanamke anayetembea na boss wake ambaye anatembea na mwanafunzi mwenye HIV. Ona hiyo chain ilivyokufikia kimasihara.

Tetesi za takwimu za mwaka 2026 zinaonyesha kuwa Tanzania ina takribani watu 1.6 milioni wanaoishi na VVU (HIV), kama tupo watu M50+ it means watu 30m+ hawana VVU, sasa katika hayo mazingira inawezekana kabisa mtu mlevi mwenye tattoo akafanya ngono na watu M5+ wasio na VVU na yule decent akafanya ngono na mtu mmoja kati ya 1.6m wenye VVU au vice versa. Zigzag.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…