Agogwe
JF-Expert Member
- Feb 20, 2013
- 2,742
- 3,000
Kuna udanganyifu mwingi sana kwenye hawa viumbe kwakuwa wakati wote huonekana huko ulaya tuu
Sijasikia hata siku moja Alliens wameonekana uarabuni china wala Africa
huku kwetu wapo wanajiita UKAWA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna udanganyifu mwingi sana kwenye hawa viumbe kwakuwa wakati wote huonekana huko ulaya tuu
Sijasikia hata siku moja Alliens wameonekana uarabuni china wala Africa
Kama sikosei umeulizwa swali hilo baada ya kusema sasa mnajua kila kitu,hayo maswali sio kwamba bali umeshajiwekea mpaka wa kufikiri kwa kudhani kila jambo itatumika sayansi.
Maana ni mzito kuelewa,sasa inaweza ikawa ni kutokana na utoto au umezeeka sana.Umri hautasaidia lete hoja mezani!
Nani kakwambia kuwa kila mwizi wazazi wake walikuwa wezi[emoji15] [emoji15] [emoji15]HAKUWEZI KUWA NA MUNGU MTAKATIFU ALIYEUMBA DUNIA ISIYO TAKATIFU.
Karibu katika ulimwengu huru
........Free ideas.........
Hata hicho kipindi unachosema ni enzi za ujinga kulikuwa na watu ambao hawakukubaliana na mafundisho ya mitume,sasa hebu nitajie hoja zipi mpya katika zama hizi za kisomi kupinga kuwa hakuna mungu?maana hadi sasa kuna wasomi wa ngazi zote ambao wanaamini mungt.Enzi za ujinga watu waliweza kudanganywa kirahisi na hakuna aliyehoji.Mtu aliweza kusema ametokewa na sijui malaika kisha akapata wafuasi.Sasa hivi watu wameelimika na wanajua uongo wote.
Amka leo hii mchukue mwanao useme eti bwana mungu kakwambia ukamtoe kafara sijui sadaka ya kuteketeza(refer Abraham) ,Kwanza utapimwa akili kama iko sawa(jiulize kwa nn).kisha utafungwa kwa kujaribu kuua.
Hizi sio enzi za akina mudi kuibuka na kusema eti mungu kanichagua mimi niwe mtume wake,eti mungu akamfuata pangoni na kumuambia vitu hivo.
Karibu katika ulimwengu huru
..........Free ideas......
Nani kakwambia kuwa kila mwizi wazazi wake walikuwa wezi[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Kila mzinzi wazazi wake walikuwa wazinzi[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Dunia iliubwa safi kabisa ila watumiaji ndiyo wameiharibu maana iliubwa na kila aina ya viumbe wazuri wanyama kwa mimea, maji hewa safi na mazingira ya kupendeza ila ni kiumbe mmoja wewe hapo uliyependelewa kupewa akili na uhuru ambao umeshindwa kuutumia vema umefanya dunia ikawa siyo tena takatifu.
Kiumbe wewe na mimi ambaye hujui mpaka wa uhuru wako unafikia kuhoji muumba wako, siyo muda utahoji uhalali na uthibitisho wa baba yako kama ndiye alimlala mama yako ili uzaliwe[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Usipozingatia hutaona hatari kuhoji kwanini ulizaliwa na wazazi wako bila ridhaa yako chunga sana mpendwa AKILI NYINGI HUONDOA MAARIFA na uwezo wako wa akili na kufikiri haulingani ata na upumbavu wa Mungu(Mungu hana upumba yeye ndiyo HEKIMA yenyewe.
Hata hicho kipindi unachosema ni enzi za ujinga kulikuwa na watu ambao hawakukubaliana na mafundisho ya mitume,sasa hebu nitajie hoja zipi mpya katika zama hizi za kisomi kupinga kuwa hakuna mungu?maana hadi sasa kuna wasomi wa ngazi zote ambao wanaamini mungt.
Maana ni mzito kuelewa,sasa inaweza ikawa ni kutokana na utoto au umezeeka sana.
Ndiyo maana ulipewa limited life kwa maisha ya kimwili ila kwa maisha ya roho kamwe haufi na ukifa na dhambi usidhani uko salama utateseka milele maumivu ya roho nitafauti na mwili mfano wake ni kama maumivu ya msiba au mapenzi anakufa mwingine wengine wanahuzunika na kulia, au mapenzi mtu hujazaliwa naye na hakuna muunganiko wa kimwili iweje akuache uumie na maumivu yasiguse kiungo chako bali roho..??Hao watumiaji dunia iliwakuta?,nini kimeanza kuumbwa kati ya watumiaji na dunia?.Kama dunia iliumbwa safi kisha mungu(kama yupo )akaumba watumiaji dhaifu ambao alijua kabisa wataiharibu dunia,je mbona hakuumba watumiaji safi?.Je hakujua kwamba ameumba watumiaji wasio safi?
Karibu katika ukimwengu huru
.............Free ideas......
Ndiyo maana ulipewa limited life kwa maisha ya kimwili ila kwa maisha ya roho kamwe haufi na ukifa na dhambi usidhani uko salama utateseka milele maumivu ya roho nitafauti na mwili mfano wake ni kama maumivu ya msiba au mapenzi anakufa mwingine wengine wanahuzunika na kulia, au mapenzi mtu hujazaliwa naye na hakuna muunganiko wa kimwili iweje akuache uumie na maumivu yasiguse kiungo chako bali roho..??Hao watumiaji dunia iliwakuta?,nini kimeanza kuumbwa kati ya watumiaji na dunia?.Kama dunia iliumbwa safi kisha mungu(kama yupo )akaumba watumiaji dhaifu ambao alijua kabisa wataiharibu dunia,je mbona hakuumba watumiaji safi?.Je hakujua kwamba ameumba watumiaji wasio safi?
Karibu katika ukimwengu huru
.............Free ideas......
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ss weusi tushabaguliwa kwenye movies wenyenyewe wanaigiza malaika ila kipande cha shetani wanaweka weusiwote ni weupe tena.....hakuna mweusi?
bigmind said:Ndiyo maana ulipewa limited life kwa maisha ya kimwili ila kwa maisha ya roho kamwe haufi na ukifa na dhambi usidhani uko salama utateseka milele maumivu ya roho nitafauti na mwili mfano wake ni kama maumivu ya msiba au mapenzi anakufa mwingine wengine wanahuzunika na kulia, au mapenzi mtu hujazaliwa naye na hakuna muunganiko wa kimwili iweje akuache uumie na maumivu yasiguse kiungo chako bali roho..??
bigmind said:Hiyo sayansi yako isiyofikia ata ujinga wa Mungu iweje imeshindwa kuzuia kifo kwanini tufe,
bigmind said:Mungu siyo katili mpaka atunyime uhuru wa kutumia vitu alivyotuumbia dunia tumeambiwa tutawale vyote vilivyomo badala ya kutawala tukaona tuharibu kwa kufanya tusiyoruhusiwa.
bigmind said:Mfano mzuri aliyetengeneza pombe beer hakuwa na maana.mbaya ila ulevi wa kupitiliza na pombe kuzidisha zinaweza kuletelezea kifo nani hapo mwenye kosa...?
bigmind said:Mungu siyo punguani aumbe viumbe visivyo na utaratibu viishi tuu bila utaratibu ata hiyo sayansi ni kama old style ya mawazo aliyowahi kufikiria Mungu na asiyatumie maana kwake ni upumbavu ila kwako wewe unaona ni ubunifu.
bigmind said:Ndugu hoja zako ni too weak nilidhani uko level fulani ya kujenga hoja but you seemed to be weak..!
bigmind said:Mtume paul anasema wapumbavu hujisemea mioyoni mwao kuwa hakuna Mungu..
KASORO SHETANI TUKinachonipa hofu mimi ni kwamba hawa viumbe wote ni WAZUNGU
mpaka leo bado najaribu kufikiria uwepo wa viumbe hiviKuna udanganyifu mwingi sana kwenye hawa viumbe kwakuwa wakati wote huonekana huko ulaya tuu
Sijasikia hata siku moja Alliens wameonekana uarabuni china wala Africa
Iv kwa akili zilizotulia,kuna kitu kinaweza kuanza chenyewe kwa mfumo thabiti bila "creator" kweli? Mfumo thabiti namaanisha vitu vyote unavyovielewa wewe.Mungu ni idea iliyo katika akili ya mwanadamu kwa muda mrefu sana.Na hiyo inaenda kufutika hivi punde!.
Karibu sana katika ulimwengu huru.
.....Free Ideas......
Iv kwa akili zilizotulia,kuna kitu kinaweza kuanza chenyewe kwa mfumo thabiti bila "creator" kweli? Mfumo thabiti namaanisha vitu vyote unavyovielewa wewe.
Mama yaanguuuu!! Eti safari ya Armstrong ilikuwa ni uongo!!?? Hebu fafanua mkuu TADPOLE maana mimi nimejifunza hiyo kitu miaka mingi na nimefundisha wanangu hivo....hebu shusha material hapa tufunguke!!hizo kamba tu za wamarekani ili waonekane super power hao alliens wameona marekani tu ndo sehemu ya kusurvive au kwa sababu bata nyingi pale las vegas sijawahi kusikia mrusi au mchina anaongelea kuhusu alliens.hizo ni movie tu za hollywood kama walivyotudanganya kuhusu safari ya mwezin ya neil armstrong
Chanzo cha Mungu kinaweza kuwa kimefichika katika utaalamu wetu wa kufikiri. Lkn yeye akawa ndiyo chanzo chetu na mambo yote tunayoyajua. Mimi nnavyoelewa ni kuwa, vitu vinavyoanza vyenyewe huwa havina mfumo thabiti. Mf wenye kuthibitisha kuwepo kwa creator ni Sollar system,tofauti ya binadam na wanyama nk, nk. Na mambo mengi ya kufikirisha yaliyopo.Niambie chanzo cha mungu ni nini?ikiwa unaamini kwamba mungu alianza bila chanzo kwa nini huamini kwamba dunia ilinza bila chanzo??.
............ Free ideas....
KIgoma wapo wanapatikana Ziwa Tanganyika na ndo siri ya utajiri wa waha!Kuna udanganyifu mwingi sana kwenye hawa viumbe kwakuwa wakati wote huonekana huko ulaya tuu
Sijasikia hata siku moja Alliens wameonekana uarabuni china wala Africa