Aina 5 za aliens wanaowasiliana na dunia

Kuna udanganyifu mwingi sana kwenye hawa viumbe kwakuwa wakati wote huonekana huko ulaya tuu
Sijasikia hata siku moja Alliens wameonekana uarabuni china wala Africa

huku kwetu wapo wanajiita UKAWA
 
Kama sikosei umeulizwa swali hilo baada ya kusema sasa mnajua kila kitu,hayo maswali sio kwamba bali umeshajiwekea mpaka wa kufikiri kwa kudhani kila jambo itatumika sayansi.

Katika sayansi hatubahatishi,sayansi inakua ,sayansi inahojika ,sayansi inakosolewa.
Lakini dini haikosolewi ,haisahihishwi.

Narudia tena,mpaka sasa hauoni umuhimu wa kuwa na mungu ikiwa kila kitu kinaelezeka!.Kuamua kuwa na mungu ni uamuzi wako.

Mungu ambaye ameshindwa kuifanya dunia mahala salama pa kuishi,

Mungu ambaye ni mwema lakini akaumba dunia ambayo maovu yanawezekana.

Mungu ambaye alimuumba shetani kisha anatulaumu sisi kwamba tunatumbukia dhambini wakati kosa ni lake.

Mungu ambaye anasubili/anavizia siku ya hukumu aje kuwahukumu viumbe wake huku akijua kabisa lazima angewahukumu hata kabla hajawaumba!.

Mungu ambaye yupo katika dini zote zaidi ya 100,.

Karibu katika ulimwengu huru!

.............. Free ideas......
 
Enzi za ujinga watu waliweza kudanganywa kirahisi na hakuna aliyehoji.Mtu aliweza kusema ametokewa na sijui malaika kisha akapata wafuasi.Sasa hivi watu wameelimika na wanajua uongo wote.

Amka leo hii mchukue mwanao useme eti bwana mungu kakwambia ukamtoe kafara sijui sadaka ya kuteketeza(refer Abraham) ,Kwanza utapimwa akili kama iko sawa(jiulize kwa nn).kisha utafungwa kwa kujaribu kuua.

Hizi sio enzi za akina mudi kuibuka na kusema eti mungu kanichagua mimi niwe mtume wake,eti mungu akamfuata pangoni na kumuambia vitu hivo.

Karibu katika ulimwengu huru

..........Free ideas.....
 
HAKUWEZI KUWA NA MUNGU MTAKATIFU ALIYEUMBA DUNIA ISIYO TAKATIFU.

Karibu katika ulimwengu huru

........Free ideas.........
Nani kakwambia kuwa kila mwizi wazazi wake walikuwa wezi[emoji15] [emoji15] [emoji15]

Kila mzinzi wazazi wake walikuwa wazinzi[emoji15] [emoji15] [emoji15]

Dunia iliubwa safi kabisa ila watumiaji ndiyo wameiharibu maana iliubwa na kila aina ya viumbe wazuri wanyama kwa mimea, maji hewa safi na mazingira ya kupendeza ila ni kiumbe mmoja wewe hapo uliyependelewa kupewa akili na uhuru ambao umeshindwa kuutumia vema umefanya dunia ikawa siyo tena takatifu.

Kiumbe wewe na mimi ambaye hujui mpaka wa uhuru wako unafikia kuhoji muumba wako, siyo muda utahoji uhalali na uthibitisho wa baba yako kama ndiye alimlala mama yako ili uzaliwe[emoji15] [emoji15] [emoji15]

Usipozingatia hutaona hatari kuhoji kwanini ulizaliwa na wazazi wako bila ridhaa yako chunga sana mpendwa AKILI NYINGI HUONDOA MAARIFA na uwezo wako wa akili na kufikiri haulingani ata na upumbavu wa Mungu(Mungu hana upumba yeye ndiyo HEKIMA yenyewe.
 
Enzi za ujinga watu waliweza kudanganywa kirahisi na hakuna aliyehoji.Mtu aliweza kusema ametokewa na sijui malaika kisha akapata wafuasi.Sasa hivi watu wameelimika na wanajua uongo wote.

Amka leo hii mchukue mwanao useme eti bwana mungu kakwambia ukamtoe kafara sijui sadaka ya kuteketeza(refer Abraham) ,Kwanza utapimwa akili kama iko sawa(jiulize kwa nn).kisha utafungwa kwa kujaribu kuua.

Hizi sio enzi za akina mudi kuibuka na kusema eti mungu kanichagua mimi niwe mtume wake,eti mungu akamfuata pangoni na kumuambia vitu hivo.

Karibu katika ulimwengu huru

..........Free ideas......
Hata hicho kipindi unachosema ni enzi za ujinga kulikuwa na watu ambao hawakukubaliana na mafundisho ya mitume,sasa hebu nitajie hoja zipi mpya katika zama hizi za kisomi kupinga kuwa hakuna mungu?maana hadi sasa kuna wasomi wa ngazi zote ambao wanaamini mungt.
 
Nani kakwambia kuwa kila mwizi wazazi wake walikuwa wezi[emoji15] [emoji15] [emoji15]

Kila mzinzi wazazi wake walikuwa wazinzi[emoji15] [emoji15] [emoji15]

Dunia iliubwa safi kabisa ila watumiaji ndiyo wameiharibu maana iliubwa na kila aina ya viumbe wazuri wanyama kwa mimea, maji hewa safi na mazingira ya kupendeza ila ni kiumbe mmoja wewe hapo uliyependelewa kupewa akili na uhuru ambao umeshindwa kuutumia vema umefanya dunia ikawa siyo tena takatifu.

Kiumbe wewe na mimi ambaye hujui mpaka wa uhuru wako unafikia kuhoji muumba wako, siyo muda utahoji uhalali na uthibitisho wa baba yako kama ndiye alimlala mama yako ili uzaliwe[emoji15] [emoji15] [emoji15]

Usipozingatia hutaona hatari kuhoji kwanini ulizaliwa na wazazi wako bila ridhaa yako chunga sana mpendwa AKILI NYINGI HUONDOA MAARIFA na uwezo wako wa akili na kufikiri haulingani ata na upumbavu wa Mungu(Mungu hana upumba yeye ndiyo HEKIMA yenyewe.

Hao watumiaji dunia iliwakuta?,nini kimeanza kuumbwa kati ya watumiaji na dunia?.Kama dunia iliumbwa safi kisha mungu(kama yupo )akaumba watumiaji dhaifu ambao alijua kabisa wataiharibu dunia,je mbona hakuumba watumiaji safi?.Je hakujua kwamba ameumba watumiaji wasio safi?

Karibu katika ukimwengu huru
.............Free ideas......
 
Hata hicho kipindi unachosema ni enzi za ujinga kulikuwa na watu ambao hawakukubaliana na mafundisho ya mitume,sasa hebu nitajie hoja zipi mpya katika zama hizi za kisomi kupinga kuwa hakuna mungu?maana hadi sasa kuna wasomi wa ngazi zote ambao wanaamini mungt.

Simply kwa sababu hakuna ushahidi wa uwepo wake!,Ni vigumu sana kuwadanganya wanadam wa kizazi hiki eti kuna mtu alitembea juu ya maji ama et kubadili maji kuwa divai!

Sijapinga kwamba hakuna msomi asiyesema kwamba kuna mungu,wapo tena wengi tu lakini siku zaja ambapo kila kitu kitakuwa huru!.

Hii ni miaka 2000+ tangu mliyemuita yesu(mungu) afe kwa kuteswa!.Lakini mpaka sasa hakuna muujiza wowowte wala chochote kinachoashiria hicho mnachoita ujio wake!.

.......Free ideas.......
 
Maana ni mzito kuelewa,sasa inaweza ikawa ni kutokana na utoto au umezeeka sana.

Kipi ulichoandika cha kueleweka hap?.Unachotakiwa ni kuleta hapa ushahidi wako hapa kwamba kuna mungu!Huu ni mwaka wa 3 tangu nimekufahamu humu lakini hakuna hata chembe ya ushahidi umewahi leta hapa kwa jukwaa!
..........Free ideas.....
 
Hao watumiaji dunia iliwakuta?,nini kimeanza kuumbwa kati ya watumiaji na dunia?.Kama dunia iliumbwa safi kisha mungu(kama yupo )akaumba watumiaji dhaifu ambao alijua kabisa wataiharibu dunia,je mbona hakuumba watumiaji safi?.Je hakujua kwamba ameumba watumiaji wasio safi?

Karibu katika ukimwengu huru
.............Free ideas......
Ndiyo maana ulipewa limited life kwa maisha ya kimwili ila kwa maisha ya roho kamwe haufi na ukifa na dhambi usidhani uko salama utateseka milele maumivu ya roho nitafauti na mwili mfano wake ni kama maumivu ya msiba au mapenzi anakufa mwingine wengine wanahuzunika na kulia, au mapenzi mtu hujazaliwa naye na hakuna muunganiko wa kimwili iweje akuache uumie na maumivu yasiguse kiungo chako bali roho..??

Hiyo sayansi yako isiyofikia ata ujinga wa Mungu iweje imeshindwa kuzuia kifo kwanini tufe, Mungu siyo katili mpaka atunyime uhuru wa kutumia vitu alivyotuumbia dunia tumeambiwa tutawale vyote vilivyomo badala ya kutawala tukaona tuharibu kwa kufanya tusiyoruhusiwa.

Mfano mzuri aliyetengeneza pombe beer hakuwa na maana.mbaya ila ulevi wa kupitiliza na pombe kuzidisha zinaweza kuletelezea kifo nani hapo mwenye kosa...?

Mungu siyo punguani aumbe viumbe visivyo na utaratibu viishi tuu bila utaratibu ata hiyo sayansi ni kama old style ya mawazo aliyowahi kufikiria Mungu na asiyatumie maana kwake ni upumbavu ila kwako wewe unaona ni ubunifu.

Ndugu hoja zako ni too weak nilidhani uko level fulani ya kujenga hoja but you seemed to be weak..!

Mtume paul anasema wapumbavu hujisemea mioyoni mwao kuwa hakuna Mungu..

bigmind said:

Maisha ya kiroho yakoje ?,una uhakika gani kwamba kuna maisha ya kiroho?,Je roho umewahi kuiona?,ikoje?au unahisi kwamba kuna roho tu bila kuwa na uhakika!

bigmind said:
Hiyo sayansi yako isiyofikia ata ujinga wa Mungu iweje imeshindwa kuzuia kifo kwanini tufe,

Ujinga wa mungu ukoje?,kumbe mungu pia anaujinga?!Huyu mungu kweli ama hadithi za abunuasi ndiO unaleta hapa?,Swala la kifo kutokuzuiwa haimaanishi mungu yupo!.

Ulishawahi kujiuliza kwa nini unatahiriwa?,kwa nini unapata appendix?.Je ni makosa katika uumbaji wa mungu?,kwa nini hatukazaliwa tukiwa tumetahiriwa?!

bigmind said:
Mungu siyo katili mpaka atunyime uhuru wa kutumia vitu alivyotuumbia dunia tumeambiwa tutawale vyote vilivyomo badala ya kutawala tukaona tuharibu kwa kufanya tusiyoruhusiwa.

Kwa nini kaweka adhabu ya moto?,je adhabu ya moto inamfundisha nini mkosaji?,!Je hakujua kwamba atatuchoma moto?Kwa nini aliniumba wakati alijua kabisa sitaweza kutenda atakavyo?,au hakujua?Adhabu maana yake ni kumfunza mtu kwa kosa alilofanya je akinichoma moto wa milele nitajifunza nn?THINK BIG KIJANA.

bigmind said:
Mfano mzuri aliyetengeneza pombe beer hakuwa na maana.mbaya ila ulevi wa kupitiliza na pombe kuzidisha zinaweza kuletelezea kifo nani hapo mwenye kosa...?

Kifo kimejiumba?Huna point wewe!

bigmind said:
Mungu siyo punguani aumbe viumbe visivyo na utaratibu viishi tuu bila utaratibu ata hiyo sayansi ni kama old style ya mawazo aliyowahi kufikiria Mungu na asiyatumie maana kwake ni upumbavu ila kwako wewe unaona ni ubunifu.

Aisee kumbe na mungu anafikiria?,hee!,Kama mungu anafikia hatua ya kufikiria basi lazima kuna source inayomuwezesha kufikiria!,aisee wewe ni hopeless kabisa nadhani hata wenzako wamekushangaa kwa kusema eti mungu anafikiria.Inaonekana hujui hata unachokiamini bali ulizaliwa ukakuta wazaI wako wanaamini naweww ukafuata mkumbo kama nyumbu ukaanza kuamini bila hata kuhoji!Mungu muweza wa yote anaanzaje kufikiria hahahaha pole sana!

bigmind said:
Ndugu hoja zako ni too weak nilidhani uko level fulani ya kujenga hoja but you seemed to be weak..!

Zangu au zako?Hee!,Mi nimewaambia leteni ushahidi wa uwepo wa mungu hamjaleta ,nikawauliza iweje mungu mkamilifu akaumba dunia isiyo kamilifu mmekimbia!

bigmind said:
Mtume paul anasema wapumbavu hujisemea mioyoni mwao kuwa hakuna Mungu..

Who is mtume paul?.Umekariri mafundisho ya mila za waisrael ndo unaleta hapa?.Wewe mzaramo mtume paul anakuhusu nini?,Aisee kanisani mnasomewa sijui waraka wa mtume paul kwa waefeso nyie inawahusu nini!.

Karibu katika ulimwengu huru!

..........Free ideas,.......,,
 
Kuna udanganyifu mwingi sana kwenye hawa viumbe kwakuwa wakati wote huonekana huko ulaya tuu
Sijasikia hata siku moja Alliens wameonekana uarabuni china wala Africa
mpaka leo bado najaribu kufikiria uwepo wa viumbe hivi
 
Mungu ni idea iliyo katika akili ya mwanadamu kwa muda mrefu sana.Na hiyo inaenda kufutika hivi punde!.

Karibu sana katika ulimwengu huru.

.....Free Ideas......
Iv kwa akili zilizotulia,kuna kitu kinaweza kuanza chenyewe kwa mfumo thabiti bila "creator" kweli? Mfumo thabiti namaanisha vitu vyote unavyovielewa wewe.
 
Niambie chanzo cha mungu ni nini?ikiwa unaamini kwamba mungu alianza bila chanzo kwa nini huamini kwamba dunia ilinza bila chanzo??.

............ Free ideas....
 
hizo kamba tu za wamarekani ili waonekane super power hao alliens wameona marekani tu ndo sehemu ya kusurvive au kwa sababu bata nyingi pale las vegas sijawahi kusikia mrusi au mchina anaongelea kuhusu alliens.hizo ni movie tu za hollywood kama walivyotudanganya kuhusu safari ya mwezin ya neil armstrong
Mama yaanguuuu!! Eti safari ya Armstrong ilikuwa ni uongo!!?? Hebu fafanua mkuu TADPOLE maana mimi nimejifunza hiyo kitu miaka mingi na nimefundisha wanangu hivo....hebu shusha material hapa tufunguke!!
 
Niambie chanzo cha mungu ni nini?ikiwa unaamini kwamba mungu alianza bila chanzo kwa nini huamini kwamba dunia ilinza bila chanzo??.

............ Free ideas....
Chanzo cha Mungu kinaweza kuwa kimefichika katika utaalamu wetu wa kufikiri. Lkn yeye akawa ndiyo chanzo chetu na mambo yote tunayoyajua. Mimi nnavyoelewa ni kuwa, vitu vinavyoanza vyenyewe huwa havina mfumo thabiti. Mf wenye kuthibitisha kuwepo kwa creator ni Sollar system,tofauti ya binadam na wanyama nk, nk. Na mambo mengi ya kufikirisha yaliyopo.
Sijafungwa kufikiri, ila mawazo yetu ya kukubali ama kupinga tunachokijadili,yawe na utafiti wa kutosha kuweza kushawishi mwingine kukubali utafiti huo.
 
Back
Top Bottom