Aina gani ya friji ni nzuri?

Aina gani ya friji ni nzuri?

Go for LG utaja nishukuru, pamoja na kwamba ni ghali lkn hakika wana chombo, mi nlinunua langu size ya kati tokea 2016 mpaka leo na sijawahi kujuta, ni energy efficient, hakuna kuweka mabonge ya barafu kule juu, inagandisha chap pia, lkn kwa muonekano ni Urembo ndani
 
Habari zenu wana Jamvi, naombeni ushauri juu ya hizi fridge zilizopo madukani, ni aina gani ya fridge ni nzuri na inayodum mda mrefu, na ni kitu gani cha kuzingatia wakati wa kununua hizi fridge,
Maana nmeona kampuni nyingi sana kwa sasa zikiwa zinauza hizi bidhaa,
Mfano jana nmetaka kununu ka friji kadogo ka getoni kwangu kanaitwa MrUK, nikaona ngoja niulizie kwanza wazoefu, nawasilisha asanteni.
View attachment 1764796View attachment 1764797View attachment 1764796View attachment 1764797
WestPoint is the best.
 
Go for LG utaja nishukuru, pamoja na kwamba ni ghali lkn hakika wana chombo, mi nlinunua langu size ya kati tokea 2016 mpaka leo na sijawahi kujuta, ni energy efficient, hakuna kuweka mabonge ya barafu kule juu, inagandisha chap pia, lkn kwa muonekano ni Urembo ndani
hivi tofauti ya fridge na freezer ni nini?
 
Nina von ina miaka mi 5 sasa na ipo vizuri
 
Ninatumia boss wapo vzuri sana! Aigandishi mabarafu upande wa freezer, inatumia umeme kidgo sana na haina kelele
 
Nilienda kariakoo kununua friji nikaacha friji jipya kampuni ya boss lenye lita 100 kwa 360,000 nikaenda kununua la mtumba lenye lita 168 kwa bei hiyo hiyo kampuni ya whirlpool nimekaa nalo mwaka mmoja tu sasa hivi linawaka haligandishi halipoozi hata uliwashe masaa 24 yani ni bora ukanunua jipya ukaja kulibikiri mwenyewe hata kama ni chinese brand
 
Habari zenu wana Jamvi, naombeni ushauri juu ya hizi fridge zilizopo madukani, ni aina gani ya fridge ni nzuri na inayodum mda mrefu, na ni kitu gani cha kuzingatia wakati wa kununua hizi fridge, maana nmeona kampuni nyingi sana kwa sasa zikiwa zinauza hizi bidhaa.

Mfano, jana nmetaka kununua kafriji kadogo ka getoni kwangu kanaitwa MrUK, nikaona ngoja niulizie kwanza wazoefu, nawasilisha

Asanteni.

View attachment 1764796

View attachment 1764797View attachment 1764796View attachment 1764797
Tafuta LG au Fresh Tech
 
Ina maana deep freezer ndogo la og Bei gani ?
 
Njoo tukujulishe
Friji ni Westpoint, Samsung, lg , sharp , hisense make sure uko kwa authorised dealer, ila zote hizo ni global brand so bei yake ni kisu!
 
Back
Top Bottom