Aina gani ya Madini inapatikana kwenye eneo unaloishi/Unalotoka au unalolifahamu!

historia ya mafanikio iliwapa morali wachmbaji napia matajiri wakubw kuinvest zaidi bila woga nakupa return kubwa sna
 
pia aina yamadin yanapatikana sehemu moja tu.tofout nadhahabu inatoka maeneo mbalimbal.wachmbj hufukuzia milio yadhahabu
 
Tabia ya kufukuzia milio kwnye dhahabu ndyo inayoua machmbo yadhahabu.wanaacha mashmo yasiyoendelezw nakuhama kwngne.
 
Kuhamahama inasbabishw nakuibuka kw machmbo mapya.asilimia kubw wanaohamahama niwachmbj wa dhahabu.
 
km kuna amewah kuchmb aina yeyot yamadin au hata kununua aje atoe changamoto hapa.nch hi nitajiri sna inamadin mengi sna
 
Mkuu geba unazingua na macoment yako bwana. unashindwa kuyafanya one comment?
 
Kigoma, kasulu, kitema - Opal
 
madin yapo mengi sna tz.tujaribu kuwek changamoto zake hapa.kutaj tu haitoshi.hapa nilipo kuna ruby.nanimeshapek samic
 
mku geba tunashukuru kwa elimu yako unayatoa mungu akubariki sna
 
Kuna sehemu Mwanza ngoja nifanye mawasiliano ya kina halafu nitarudi niwape maelezo. Hata kwa mtaji wa 3m Unatosha
 
jaman tutoe mchanganuo kwawale waliowah kufanya h kazi.

unaweza ukahitaji <M1, kwa kazi ya kuchimba sunstone mpaka upate faida kwa mpwapwa itende, na mtaji wa >500M, kuendesha mgodi salama wa Tanzanite merelani.
Hamna formula kamili inayokaribiana, labda kwa dhahabu, mawe ya kujengea na taratibu za kiofisi ambazo hazina ugumu.
 
Kuna mambo yakuzingatia ktk shughuli za madin.je unaenda kufanya nn?mnunuz.?kuchmba?au nn?sbb kila secta inachangamoto
 
Jamani madini haijaishia hapo kw gold diamond ruby..kuna chokaa copper nazo zinalipa sna.nachangamoto zake n kidogo
 
chokaa ni madini mepesi ktk kuchmba.hayana garama kubwa wala hayana hasara pale unapomudu soko lake.
 
Mkuu nisaidie details kidogo nataka kuja huko endabashi kununua dhahabu zinapatikana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…