Aina gani ya Madini inapatikana kwenye eneo unaloishi/Unalotoka au unalolifahamu!

Aina gani ya Madini inapatikana kwenye eneo unaloishi/Unalotoka au unalolifahamu!

UNUNUZI WA DHAHABU UNACHANGAMOTO ZAKE...usikubali kuzamini migodi ili uuziwe madini.usikubali kukopesha pesa ni HATARI
 
chakufany km we mzungu(buyer)km niwatejawako wanakuzia madin cku hawana madin unawap helakidogo cyo mkopo kwjil yanyongo
 
Hata mimi hii habari nimewahi kuisikia........na sehemu yenyewe eti inaitwa Mwadui........mi hata sijui......

Nilipo hapa sisi tunachimba green tourmaline.........

Mkuu Preta heshima kwako bibie!
hebu dadavua basi upo pande zipi hapo mchimbapo green tourmaline make mi mtu wa kujichanganya sana n seldomly i get engaged into it esp when i get alarmed!
Smtms husafiri mpaka pande za kilindi huko seita,kwalugulu etc huko pote wamebarikiwa madini ya vito+dhahabu.
 
Last edited by a moderator:
57000sh mkuu na dhahabu ni pure
Mkuu mi nipo Mwanza unaweza kunisaidia wapi lilipo soko la dhahabu baada ya kuwa nimechukua kwa bei hiyo. Nimejaribu kufuatilia nimegonga mwamba sijui ni kwa nini haya mambo yapo kisiri sana hadi mtu kukupa maelekezo
 
Back
Top Bottom