Theodore Bagwell
JF-Expert Member
- Jan 13, 2014
- 940
- 225
dhahabu zpo zakutosha
Gramu moja sh ngapi?
Nasikia Shinyanga kuna Almasi,
Hata mimi hii habari nimewahi kuisikia........na sehemu yenyewe eti inaitwa Mwadui........mi hata sijui......
Nilipo hapa sisi tunachimba green tourmaline.........
Mkuu mi nipo Mwanza unaweza kunisaidia wapi lilipo soko la dhahabu baada ya kuwa nimechukua kwa bei hiyo. Nimejaribu kufuatilia nimegonga mwamba sijui ni kwa nini haya mambo yapo kisiri sana hadi mtu kukupa maelekezo57000sh mkuu na dhahabu ni pure
Mkuu mi nipo Mwanza unaweza kunisaidia wapi lilipo soko...68alfu kw gramu
Lushoto IPO uranium ya kufa mtu....trust me IPO watu wanajengea kokoto tu
ha ha haah! Mkuu wewe muuaji eeh?
Ell taarifa hizi za kweli kaka, ikiiwezekana tujipange tutafute masoko na mashineLushoto IPO uranium ya kufa mtu....trust me IPO watu wanajengea kokoto tu
Soko lipo darMkuu hizo rhodolite soko lake liko wapi hasa mkuu?Mvuha ni kijiji?