nyumbatatu
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 1,076
- 939
Hata Mimi nakuunga mkono kabisa Sanlg CC 150 ni zaidi ya punda 10Nunua sanlg cc 150 achana na toyo wala kinglion.. Hii ni ngumu Na inanguvu, nasema hivi kwa uhakika kabisa kwani ndio ninayotumia na hizo nyingine toyo na king lion nilizitumia.
Nashukuru kwa ushauri nitazingatia na maoni ya wadau wengineMkuu nadhani Toyo itakufaa zaidi tena nunua cc150 hii nipunda ya kichina mzee kg 200 inatembea kama huja beba kitu, ukikosa hiyo nunua King lion cc150 hii nayo ipo vizuri mwendo mdundo mwanzo mwisho
Sent using Jamii Forums mobile app
Shukrani mkuuNunua sanlg cc 150 achana na toyo wala kinglion.. Hii ni ngumu Na inanguvu, nasema hivi kwa uhakika kabisa kwani ndio ninayotumia na hizo nyingine toyo na king lion nilizitumia.
nilitaka nimshauri piaNunua sanlg cc 150 achana na toyo wala kinglion.. Hii ni ngumu Na inanguvu, nasema hivi kwa uhakika kabisa kwani ndio ninayotumia na hizo nyingine toyo na king lion nilizitumia.
Sure mkuu Mimi nikiwa shambani kilosa ndio machine ninayotumia hiki chuma ni balaa
Habari wananzengo, ninahitaji kujua aina ya Pikipiki inayoweza kunisaidia kwenye shughuli za shamba (kwa maana ya njia ya vumbi na kubeba mizigo ya wastani kilo zisizozidi 100 (uzito wa dereva hauhusiki)), Pia nikipata bei elekezi ya Pikipiki husika itakuwa vema zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aise!, hii bei yake ni Tshs ngapi!?.Achana na takataka za kichina, go for Suzuki Fam-bike cc125 tatizo bei ipo juu lakini utakaa nayo mudaView attachment 1325826
Duh!, mill. 8+ pamoja na VAT [emoji28][emoji28], nikifika huko tayari nitakuwa napambania kumiliki kirikuu. Asante kwa taarifa hata hivyo.View attachment 1325822
Hii ndio farmbike TF cc125 Suzuki. Bei yake b4 tax ni USD3190
Aisee hili dude tulikua nalo la yamaha unapanda hatakwenye mawe au matofari na bado lina nesa tuu halafu la yamaha lina sauti nzuri sanaAchana na takataka za kichina, go for Suzuki Fam-bike cc125 tatizo bei ipo juu lakini utakaa nayo mudaView attachment 1325826
Hii ndio yenyewe sasa sema hela tu. Wanaofikiria takata za kichina ni kwa sababu ya umasikini tu lkn kama uko vizuri hizi ndio pkpk za kwendea shambaView attachment 1325822
Hii ndio farmbike TF cc125 Suzuki. Bei yake b4 tax ni USD3190