Aina gani ya Pikipiki inafaa kwa matumizi ya shamba

Aina gani ya Pikipiki inafaa kwa matumizi ya shamba

nyumbatatu

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2013
Posts
1,076
Reaction score
939
Habari wananzengo, ninahitaji kujua aina ya Pikipiki inayoweza kunisaidia kwenye shughuli za shamba (kwa maana ya njia ya vumbi na kubeba mizigo ya wastani kilo zisizozidi 100 (uzito wa dereva hauhusiki)), Pia nikipata bei elekezi ya Pikipiki husika itakuwa vema zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nadhani Toyo itakufaa zaidi tena nunua cc150 hii nipunda ya kichina mzee kg 200 inatembea kama huja beba kitu, ukikosa hiyo nunua King lion cc150 hii nayo ipo vizuri mwendo mdundo mwanzo mwisho
 
Nunua sanlg cc 150 achana na toyo wala kinglion.. Hii ni ngumu Na inanguvu, nasema hivi kwa uhakika kabisa kwani ndio ninayotumia na hizo nyingine toyo na king lion nilizitumia.
 
Achana na takataka za kichina, go for Suzuki Fam-bike cc125 tatizo bei ipo juu lakini utakaa nayo muda
1579266664139.png
 
Habari wananzengo, ninahitaji kujua aina ya Pikipiki inayoweza kunisaidia kwenye shughuli za shamba (kwa maana ya njia ya vumbi na kubeba mizigo ya wastani kilo zisizozidi 100 (uzito wa dereva hauhusiki)), Pia nikipata bei elekezi ya Pikipiki husika itakuwa vema zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Ukipata hii kitu itakufaa sana. Kuhusu bei, kweli sijui.
1579266441601.png
 
Kinglion ndio mnyama wa uhakika kwa rough road, milima, mabonde na mzigo. Ni punda wa porini. Spear na service zake ziko cheaper.
 
Back
Top Bottom