nyumbatatu
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 1,076
- 939
Habari wananzengo, ninahitaji kujua aina ya Pikipiki inayoweza kunisaidia kwenye shughuli za shamba (kwa maana ya njia ya vumbi na kubeba mizigo ya wastani kilo zisizozidi 100 (uzito wa dereva hauhusiki)), Pia nikipata bei elekezi ya Pikipiki husika itakuwa vema zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app