Aina gani ya wanawake wanapenda wanaume wafupi?

Aina gani ya wanawake wanapenda wanaume wafupi?

Nna mshkaji wangu, n mfupi futi 4 kasoro.
Huyo jamaa bana anapenda wale wanawake shantamba, a.k.a heavy weight, a.k.a matenki, a.k.a pepsi bigi.
One day nlimuuliza kwanin anapenda hao? Akasema its a power thing, kwamba anatuoshea wengine kua pamoja na ufupi wake anaeza kuendesha semi trailer bila wasiwasi, na pia kwa huyo mwanamke he feels like a king who has conquered a big country. Wonders shall never end
 
Hahahaha
 
Sisi wafupi wana tupendea pesa tuu 🤦🤦
 
Mwanamke mrefu anapenda mwanaume mrefu.

Mwanamke mfupi, anapenda mwanaume mrefu,

Sasa mwanaume mfupi atapendwa na nani?
Mkuu
Mimi sikuwahi kuitwa mfupi tokea nimezaliwa

I'm tall

Ila daah!
Sometimes ukiwa tall ni matatizo tu .

Hahahahaha

Sikumbuki sikugani nilijivunia huu urefu.

As a kid
People treated me poor bcoz i was too big.
Utasikia "you are too big for this" watu walikuwa wananitreat like a grown a$$ man bcoz i was tall.

Older bad women wanted me for sex.
Hakuna kitu kinaumiza kama unawavutia watu ambao wewe hupendezewi kuwa nao.

Ukubwani sasa
Angalau now days
Lkn mwisho wa siku unajua kabisa this woman hayupo attracted kivilee
She is just looking a big guy for protection and good sex.
She expect a big big big everything.
Sasa mkuu kutumika like a dildo was not a good thing for me.

Niseme tu kuna wakat nilitamani angalau ningekuwa mfupi kama messi.

Nawajua wafupi wengi tu wanapendwa na hao hao wanawake unaosema wanapenda wanaume warefu.

Nilichojifunza mkuu.

Hiyo battle siyo kati ya warefu au wafupi
Ila ni strong and weak men

I've seen short brothers who are stronger than me, their actions are bigger and the way they command respect is unbelivable, their confidence is on top of the eiffel tower.
 
Back
Top Bottom