Aina gani ya wanawake wanapenda wanaume wafupi?

Aina gani ya wanawake wanapenda wanaume wafupi?

Mkuu
Mimi sikuwahi kuitwa mfupi tokea nimezaliwa

I'm tall

Ila daah!
Sometimes ukiwa tall ni matatizo tu .

Hahahahaha

Sikumbuki sikugani nilijivunia huu urefu.

As a kid
People treated me poor bcoz i was too big.
Utasikia "you are too big for this" watu walikuwa wananitreat like a grown a$$ man bcoz i was tall.

Older bad women wanted me for sex.
Hakuna kitu kinaumiza kama unawavutia watu ambao wewe hupendezewi kuwa nao.

Ukubwani sasa
Angalau now days
Lkn mwisho wa siku unajua kabisa this woman hayupo attracted kivilee
She is just looking a big guy for protection and good sex.
She expect a big big big everything.
Sasa mkuu kutumika like a dildo was not a good thing for me.

Niseme tu kuna wakat nilitamani angalau ningekuwa mfupi kama messi.

Nawajua wafupi wengi tu wanapendwa na hao hao wanawake unaosema wanapenda wanaume warefu.

Nilichojifunza mkuu.

Hiyo battle siyo kati ya warefu au wafupi
Ila ni strong and weak men

I've seen short brothers who are stronger than me, their actions are bigger and the way they command respect is unbelivable, their confidence is on top of the eiffel tower.

Wanted you for sex?[emoji23][emoji23]
Pole sana mkuu
Tafuta kadada kaemolo uweke ndani
 
Wanted you for sex?[emoji23][emoji23]
Pole sana mkuu
Tafuta kadada kaemolo uweke ndani
Urefu sibagui mimi.
Yanini nimbague mtu kwa kitu ambacho hawez kukicontrol.

Ila atahitaji qualities hizi pekee.
FIT,FEMININE,FRIENDLY, SUBMISSiVE AND SEXY
kama kuna emolo mwenye hizi niunganishe nae mkuu.
 
Ngoja nkutafutie mkuu

Licha ya kua na hizo sifa ntamwambia ajue vita yake ni kubwa[emoji23][emoji23][emoji23]
Maana unagombaniwa hadi na old women, so awe strong kidogo wasimpindue
 
Ushindani ni muhimu.
Ajiandae kupambania namba kwenye kukosi changu hakuna.mchezaji mwenye nafasi ya uhakika.
Nipo na top quality players only.

[emoji38][emoji38][emoji38]
Haya bana, kila la kheri upate top quality player
 
emoji38.png
emoji38.png
emoji38.png

Haya bana, kila la kheri upate top quality player
Unastahili Ameen for this.
[emoji38][emoji38][emoji38]
Haya bana, kila la kheri upate top quality player
Aneen
 
Mwanamke mrefu anapenda mwanaume mrefu.

Mwanamke mfupi, anapenda mwanaume mrefu,

Sasa mwanaume mfupi atapendwa na nani?
Umewahi kuona Wanaume wafupi wamekosa wanawake wa kuwapa? In fact Ukiwa mrefu na huna maisha you are likely kukosa Mke ila sio mfupi mwenye maisha.
 
Back
Top Bottom