Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
Mungu awe nanyi nyote.
Nikweli kwamba hatuwezi fanana kwa kila kitu wala kupangiana vitu vya kufanya.
Sasa kuna hawa watu yaani unakuta analalamikia kitu hadi unauzika ukimwambia achana nacho ufanye kitu kingine anakuambia hawezi acha kwa sababu flani fulani zisizo hata na mantiki yoyote.
Nitataja baadhi ya vitu hapa kwa uchache tu.........
*NDOA:-
Hapa unakuta mwanamme kwa ke anamlalamikia mwenzi wake kuwa anatabia mbaya
kashasema hadi amechoka. Na pengine anaweza sema sababu ukaona zina mashiko sana kwa usalama wake
mfano mwanaume unakuta analalamikia mke wake ni malaya na anatoa ushuhuda kuwa kashamfumania live na kwenye simu wala mke wake habadiriki. ukimwambia piga chini huyo hafai atakuletea magonjgwa au atakuua.
utasikia anasema sasa watoto watateseka nk yaani mtu kama huyu yuko ladhi aishi maisha ya sonona na stress za kila aina maisha yake yote kisa tu watoto ....
*POMBE:-
Jamaa anakumbia mimi pombe kila nikinywa yaani naumwa au kutapika muda mwingine naleta fujo kwa wife yaani kwa kifupi pombe ishanikataa kabisaa. ukimwambia piga chini wala hakubali.
*BIASHARA\KILIMO&MIFUGO
Kila mara anapata hasara katika moja wapo wa kitu tajwa juu na analalamika sana ukimwambia abadirishe
biashara au afanye kitu kingine anachoona kuwa kitampa faida bado anagoma. sasa unabaki kujiuliza nikipi sasa huyu anataka daily anakuja kwako kukuomba ushauri na wewe unaona kabisa msoto anaopitia si wa kawaida unampa madini lakini wapi.
*DINI/DHEHEBU FULANI.
Hii sasa huwa nachoka kabisa. mtu anakuambia hizi dini tumeletewa na wanzungu & waarabu watutawale upya. hakuna mungu wala nn mwingine anakumbia wazee wetu hawakuwa na dini walikuwa wanaabudu mizimu.
mtu huyu kila jpili anabeba biblia na kwenda kanisani lakini huyo huyo anaponda dini zimeletwa na waarabu & wazungu tu zipo kibiashara tu hakuna kingine.
Mwingingine atakuambia kuhusu dhehebu lake kuwa lina michango sana isiyoeleweka yaani anakupa na mifano unaona kabisa kweli hii michango imekaa kipigaji. huyu huyu hta jpili ya kesho ataenda kanisani
Huwa na washangaa sana watu aina hii ukimwambia wewe una amini dini kaleta mzungu kwanini usiache kwenda uanze kuabudu mizimu mbona simple tu. Anakutolea sababu za kijinga tu mara nikifa nitazikwa vibaya,jamii itaniona wa ajabu, watoto na familia itanichukulia kama mchawi.
Asee unabaki kucheka na kushangaa
Mzee wangu yeye tangu aanze kumilki simu enzi hizo vocha za voda zilikuwa zinaitwa ShivaCom
hadi leo hajawahi kubadirisha mtandao huo. Licha ya kuwa mtandao wa vodacom kijijni haushiki vzr
lkn wala hataki kabisa kutumia mtandao mwingine.
Tumesha msajiria laini kadhaa za mitandao tofauti tofauti lakin hataki hata kuiacha tu kwenye simu hataki vilevile yeye ana voda yake pamoja na changamoto alizokuwa anapitia hapo zamani hadi apande kwenye kichuguu au kwenye mti hakutaka kabisa kubadiri hadi leo. ukiangalia hana sababu ya maana kabisa ya kumfanya awe na laini moja tu kwenye simu yake!!
Huwa napata wakati mgumu kabisa kuwaelewa watu wa aina hii.
inakuaje uteseke yaani hela yako ikutese/uchaguzi ukutese?