Aina tatu za wanawake ambazo manamume hukolea nazo

Aina tatu za wanawake ambazo manamume hukolea nazo

...lol...mie huvutiwa na anayevaa bai bui, kujifunika ushungi na mwenye mwanya!...ati nawewe 'unakolea' na wanaume gani achilia u 'gentleman?'

...nilimsoma Afrodenzi yeye hukolea na mwenye Bass, BJ mwenye kifua...na wewe?!

Hahahaha. . . . Wewe waupenda sana mwanya Mbu. Nakumbuka kale kathread. Sijui tusionao tukachonge. . . ?Lol

Hehee bass muhimu aisee. . . lolz. Kuna kathread nlikua nafikiria kupandisha, ngoja nikapandishe na nyie mjue tunavutiwa na nini.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
kama mwanamke ana sura nzuri, ana umbo zuri, ana mvuto, anapendeza akivaa mavazi lakin kama tabia yake ni mbaya vitu vyote hivyo vitakuwa ni irrelevant./havitakuwa na maana yoyote ile
 
mmesikia wa-jf, tafuteni taarifa mtajua

wengiene wanajuta hata kwann wameoa wanawake wazuri maana wanaona uzuri wao umekuwa mtego kwao
 
...lol...mie huvutiwa na anayevaa bai bui, kujifunika ushungi na mwenye mwanya!...ati nawewe 'unakolea' na wanaume gani achilia u 'gentleman?'

...nilimsoma Afrodenzi yeye hukolea na mwenye Bass, BJ mwenye kifua...na wewe?!

Mashallah!..unakumbuka eeh Mbu..!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Napenda ngozi nyeusi na ****** makubwa makubwa....hayo ya uskivu na uchez ni mengineyo.
 
Wasukuma wengi hasa wa vijijini ni jadi yenu, mnazimikaga sana kwa totos white. Hata ID yako inaonyesha hivyo. Ndokeji.

wasukuma wa enzi hizo sio sasa hivi weeeeeeeeeeeeeee:alien::embarassed2::yawn::A S embarassed::A S embarassed:
 
Kuna wengine TAUSI(SHOWSTOPPER), wameumbika vizuri na Baba Mola, Ukiwaona una vunja shingo, wenyewe wajua kuwa wanaua!!!, Wakiongeza na mikogo, wacha weee!!!, Hawa ni moto wa kuotea mbali, chunga maisha!!!!!!!!!!
 
mi nampenda demu wangu anavyo kibao hapa hata vingine havipo aseee yani wote hapa mpo chaka jamani aaaaaaaaaaaaaaaaah demu wangu mkaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Ngoja nijifunze kutabasamu, kusikiliza na kupendeza.

Swali. . . mavazi gani niwe navaa?

vazi la ktanzania...,

ila ndani yake ukipiga ''half angle" ni moja kati ya aina bora zaidi za underwear .......
 
mi nampenda demu wangu anavyo kibao hapa hata vingine havipo aseee yani wote hapa mpo chaka jamani aaaaaaaaaaaaaaaaah demu wangu mkaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

ningependa nimuone tuuuu.....!
 
kama mwanamke ana sura nzuri, ana umbo zuri, ana mvuto, anapendeza akivaa mavazi lakin kama tabia yake ni mbaya vitu vyote hivyo vitakuwa ni irrelevant./havitakuwa na maana yoyote ile

Hapo itakua kichef chef cha moyo and than kila kitu ziro. big up broo
 
wajuzi wakuchagua na wenye confidence hata ununaje, kama kakuona na amekupenda anakuvaa tu kijasiri
 
Back
Top Bottom